Skip to content
January 22, 2026
  • Youtube
  • Instagram
  • Facebook
  • TikTok
  • Twitter
  • SoundClauds

Radio Kwizera

Jukwaa la Matumaini

Primary Menu
  • HOME
  • KITAIFA
    • HABARI
    • TANZANIA
    • JAMII
    • SIASA
    • BIASHARA
    • ELIMU NA AFYA
  • AFRIKA MASHARIKI
  • KIMATAIFA
  • MICHEZO
    • BURUDANI
  • VIDEO
    • MICHEZO
    • RK NEWS
    • MSETO LEO
    • UCHAMBUZI
    • ZOTE
  • KUHUSU SISI
    • IFAHAMU RK
    • TIMU YETU
  • WASILIANA NASI
  • VIPINDI VYETU
  • Home
  • Afrika Mashariki
  • Rais Ruto wa Kenya amesema kuwa mageuzi ya kitaasisi, Umoja wa Afrika yanafungua fursa za biashara Afrika
  • Afrika Mashariki
  • Biashara na Uchumi
  • Habari
  • Kimataifa
  • Newsbeat
  • Stories

Rais Ruto wa Kenya amesema kuwa mageuzi ya kitaasisi, Umoja wa Afrika yanafungua fursa za biashara Afrika

Build Your Website in Minutes with One-Click Import – No Coding Hassle!
Radio Kwizera April 10, 2025
Ruto-2

Rais wa Kenya William Ruto amesema kuwa mageuzi makubwa ya kitaasisi yaliyofanywa na Umoja wa Afrika yanafungua fursa za biashara katika bara la Afrika, yakiashiria enzi mpya ya muunganiko wa kiuchumi.

Rais Ruto amesema hayo jana alipohutubia ufunguzi wa mkutano wa kilele wa Afrika wa Shirikisho la Wafanyabiashara Duniani uliofanyika jijini Nairobi.

Amesema kuunda upya mashirika mengi muhimu yakiwemo Benki ya Maendeleo ya Afrika, Benki ya Uuzaji na Uagizaji Bidhaa ya Afrika, Taasisi ya Mendeleo ya Umoja wa Afrika pamoja na taasisi nyingi za kiuchumi za kikanda, kunaleta matumaini kwa Afrika, na kuweka msingi wa ustawi unaohimizwa na uwekezaji, ukuaji wa viwanda,  utengenezaji bidhaa kwa ajili ya masoko ya kimataifa, na biashara.

Amesema matokeo ya mageuzi hayo ni kuwa kampuni za utengenezaji na kampuni changa za teknolojia za Kenya zinaenea barani kote, na kuonyesha imani kubwa kwamba mustakbali wa kiuchumi wa Afrika uko katika biashara na ushirikiano kati ya nchi za bara hilo.

Continue Reading

Previous: Serikali imefanya ukarabati wa barabara na kujenga madaraja zaidi ya sita mkoani Mwanza
Next: Sekta ya umeme bado inakabiliwa na changamoto za mabadiliko ya Tabianchi

Related Stories

Mavunde
  • Biashara na Uchumi
  • Habari
  • Jamii
  • Tanzania
  • Teknolojia

Tanzania, Marekani kushirikiana utafiti madini ya Kinywe

Radio Kwizera January 21, 2026
TISEZA
  • Biashara na Uchumi
  • Habari
  • Jamii
  • Tanzania

Miradi 1,828 ya uwekezaji yasajiliwa nchini kwa miaka miwili

Radio Kwizera January 21, 2026
MHAKAMAAAAAAA
  • Afrika Mashariki
  • Habari
  • Tanzania

Maombi Ya mwambe dhidi ya afisa uhamiaji kusikilizwa January 23

Radio Kwizera January 20, 2026

Connect with Us

  • Youtube
  • Instagram
  • Facebook
  • TikTok
  • Twitter
  • SoundClauds

Trending News

Tanzania, Marekani kushirikiana utafiti madini ya Kinywe Mavunde 1

Tanzania, Marekani kushirikiana utafiti madini ya Kinywe

January 21, 2026
Miradi 1,828 ya uwekezaji yasajiliwa nchini kwa miaka miwili TISEZA 2

Miradi 1,828 ya uwekezaji yasajiliwa nchini kwa miaka miwili

January 21, 2026
Maombi Ya mwambe dhidi ya afisa uhamiaji kusikilizwa January 23 MHAKAMAAAAAAA 3

Maombi Ya mwambe dhidi ya afisa uhamiaji kusikilizwa January 23

January 20, 2026
Prof.Mkenda Uratibu Mifumo ya elimu Tanzania bado ni kikwazo mkendaaaaaaaa 4

Prof.Mkenda Uratibu Mifumo ya elimu Tanzania bado ni kikwazo

January 20, 2026
Phina na Eni kuanzisha Band ya Muziki enii 5

Phina na Eni kuanzisha Band ya Muziki

January 20, 2026

ulizokosa

Mavunde
  • Biashara na Uchumi
  • Habari
  • Jamii
  • Tanzania
  • Teknolojia

Tanzania, Marekani kushirikiana utafiti madini ya Kinywe

Radio Kwizera January 21, 2026
TISEZA
  • Biashara na Uchumi
  • Habari
  • Jamii
  • Tanzania

Miradi 1,828 ya uwekezaji yasajiliwa nchini kwa miaka miwili

Radio Kwizera January 21, 2026
MHAKAMAAAAAAA
  • Afrika Mashariki
  • Habari
  • Tanzania

Maombi Ya mwambe dhidi ya afisa uhamiaji kusikilizwa January 23

Radio Kwizera January 20, 2026
mkendaaaaaaaa
  • Afrika Mashariki
  • Habari
  • Tanzania

Prof.Mkenda Uratibu Mifumo ya elimu Tanzania bado ni kikwazo

Radio Kwizera January 20, 2026

About Radio kwizera

Radio Kwizera was established in 1995 by the Jesuit Refugee Service (JRS) to provide social services, education, and information to refugees from Rwanda and Burundi who were living in refugee camps in the Kagera and Kigoma regions of Tanzania.

Tags

amani Biashara Biharamulo Bongo Fleva CCM CHADEMA Elimu Familia Fursa Geita Grammy INEC Jeshi la polisi KAGERA Kahama Kampeni Kanisa Kanisa Katoliki Kigoma mahakama Mgodi Muleba muziki Mwanza Newsbeat Ngara Nigeria Polisi Radio Kwizera Samia Sheria TAKUKURU Tanzania Uchaguzi uchaguzi mkuu Uchumi ujenzi Ulinzi Ushirikiano Vijana Vurugu Wanafunzi Watanzania Waziri Mkuu Wizara ya Afya
  • Youtube
  • Instagram
  • Facebook
  • TikTok
  • Twitter
  • SoundClauds
© Radio Kwizera | MoreNews | Backend by John F. Mukulu SJ