Skip to content
July 17, 2025
  • Youtube
  • Instagram
  • Facebook
  • TikTok
  • Twitter
  • SoundClauds

Radio Kwizera

Jukwaa la Matumaini

Primary Menu
  • HOME
  • KITAIFA
    • HABARI
    • TANZANIA
    • JAMII
    • SIASA
    • BIASHARA
  • AFRIKA MASHARIKI
  • KIMATAIFA
  • MICHEZO
    • BURUDANI
  • VIDEO
    • MICHEZO
    • RK NEWS
    • MSETO LEO
    • UCHAMBUZI
    • ZOTE
  • KUHUSU SISI
  • WASILIANA NASI
  • VIPINDI VYETU
  • Home
  • Tanzania
  • Wakurugenzi mamlaka za serikali za Mitaa wamelekezwa kutowaondoa Waganga wafawidhi wa vituo vya afya
  • Afrika Mashariki
  • Elimu na Afya
  • Habari
  • Health
  • Newsbeat
  • Siasa
  • Tanzania

Wakurugenzi mamlaka za serikali za Mitaa wamelekezwa kutowaondoa Waganga wafawidhi wa vituo vya afya

Build Your Website in Minutes with One-Click Import – No Coding Hassle!
RADIO KWIZERA April 10, 2025
mchengerwa-1

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa amewaelekeza Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa kuhakikisha hawawaondoi Waganga Wafawidhi wa vituo vya afya ngazi ya msingi kwa utashi binafsi.

Waziri Mchengerwa ametoa maelekezo hayo alipokuwa akihitimisha mkutano wa mwaka wa Waganga Wafawidhi wa vituo vya kutolea huduma za afya ngazi ya msingi, uliofanyika Jijini Dodoma kwa siku mbili.

Amewataka Wakurugenzi watumie vigezo vya kupima utendaji au ubora wa kazi za Waganga Wafawidhi wa vituo vya kutolea huduma za afya msingi—yaani Key Performance Indicators (KPI)—na si maamuzi ya mtu mmoja mmoja.

Agizo hilo la Waziri Mchengerwa limekuja kufuatia malalamiko ya baadhi ya Waganga Wafawidhi kuwa wamekuwa wakiondolewa kwenye nafasi zao kwa hila, kinyume na sheria, kanuni na miongozo ya utumishi wa umma.

Continue Reading

Previous: WHO: Viwango vya vifo wajawazito, watoto wachanga Afrika vimepungua tangu mwaka 2000
Next: Sekta ya umeme bado inakabiliwa na changamoto za mabadiliko ya Tabianchi

Related Stories

MOLLEL
  • Elimu na Afya

Wazazi fuatilieni mienendo ya watoto nje ya nchi

RADIO KWIZERA July 15, 2025
WAZIRI CHANA
  • Habari

Wizara ya Maliasili na Utalii imepokea vifaa kudhibiti ujangili

RADIO KWIZERA July 14, 2025
polepoleeeee
  • Habari

Balozi Polepole rasmi kujiuzulu nafasi yake.

RADIO KWIZERA July 14, 2025

Connect with Us

  • Youtube
  • Instagram
  • Facebook
  • TikTok
  • Twitter
  • SoundClauds

Trending News

Wazazi fuatilieni mienendo ya watoto nje ya nchi MOLLEL 1

Wazazi fuatilieni mienendo ya watoto nje ya nchi

July 15, 2025
Wizara ya Maliasili na Utalii imepokea vifaa kudhibiti ujangili WAZIRI CHANA 2

Wizara ya Maliasili na Utalii imepokea vifaa kudhibiti ujangili

July 14, 2025
Wawekezaji watakiwa kukabiliana na uchafuzi wa fukwe Bukoba 3

Wawekezaji watakiwa kukabiliana na uchafuzi wa fukwe

July 14, 2025
Balozi Polepole rasmi kujiuzulu nafasi yake. polepoleeeee 4

Balozi Polepole rasmi kujiuzulu nafasi yake.

July 14, 2025
Zaidi ya mita 400 za maji zaibiwa Kahama, hasara mil 40 images (17) 5

Zaidi ya mita 400 za maji zaibiwa Kahama, hasara mil 40

July 12, 2025

ulizokosa

MOLLEL
  • Elimu na Afya

Wazazi fuatilieni mienendo ya watoto nje ya nchi

RADIO KWIZERA July 15, 2025
WAZIRI CHANA
  • Habari

Wizara ya Maliasili na Utalii imepokea vifaa kudhibiti ujangili

RADIO KWIZERA July 14, 2025
Bukoba
  • Jamii

Wawekezaji watakiwa kukabiliana na uchafuzi wa fukwe

RADIO KWIZERA July 14, 2025
polepoleeeee
  • Habari

Balozi Polepole rasmi kujiuzulu nafasi yake.

RADIO KWIZERA July 14, 2025

About Radio kwizera

Radio Kwizera was established in 1995 by the Jesuit Refugee Service (JRS) to provide social services, education, and information to refugees from Rwanda and Burundi who were living in refugee camps in the Kagera and Kigoma regions of Tanzania.

Tags

Afya amani Biashara Business CCM CHADEMA Fursa Geita Hukumu Jeshi la polisi Jeshi la polisi Geita Kakonko DC Kanisa Katoliki Kasulu Katibu mkuu Kigoma Kujiunga na mfumo kushirikiana makamu wa rais mali ya wizi Mazingira Mgodi Michezo Muleba Mwanza Newsbeat NIDA nishati safi Papa Leo XIV Radio Kwizera Rais Samia TAKUKURU uchaguzi mkuu Uchumi Uimarishaji Mipaka Ulinzi Uzinduzi Viwanda Waganga wa kienyeji Wazee geita Waziri Mkuu wilaya ya kakonko Wizara ya Afya Wizara ya Ardhi World
  • Youtube
  • Instagram
  • Facebook
  • TikTok
  • Twitter
  • SoundClauds
© Radio Kwizera | MoreNews | Backend by John F. Mukulu SJ