Mwanamuziki Fatma Omary Gachi amemuomba radhi msanii mwenzake Yammi, kufuatia jumbe alizopost mitandaoni siku nne zilizopita zikimtuhumu kumchukulia mwanaume wake.
Akizungumza na waandishi wa habari Gachi amesema taarifa alizozitoa hazikuwa za kweli na kwamba anamuomba yammi radhi na wtanzania kwa ujumla
kwa upande wa wakili wa Gachi amesema kuwa kwa sasa Gachi na Yammi wameyamaliza.
