Press "Enter" to skip to content

TASAF Yajipanga Kutekeleza Miradi Miwili Muhimu Buseresere, Chato

πŸ—“οΈ Ijumaa, Machi 14, 2025

πŸ“ Chato, Geita

πŸ“° TASAF Yajipanga Kutekeleza Miradi Miwili Muhimu Buseresere, Chato

Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Buseresere wilayani Chato mkoani Geita, Bw. Pius Willbard amesema TASAF imejipanga kutekeleza miradi miwili ndani ya kata hiyo.

Bw. Willbard amesema hayo jana wakati akijibu swali la wananchi waliotaka kujua sababu ya wanufaika wa TASAF kufanya shughuli za maendeleo ikiwemo uchongaji wa barabara na upandaji miti ndani ya kata yao.

Kwa upande wao, baadhi ya wanufaika wa TASAF wamepongeza mpango huo kwa kuwafanya wajishughulishe na kazi mbalimbali, na kuondoa mtazamo wa kusaidiwa kila mwezi bila kufanya kazi yoyote.

Be First to Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *