
Mfanyabiashara nchini Dotto Magari, ameeleza kuwa kwa sasa ni muhimu kuwekeza muziki kwenye vipaji vya chini kwa sababu ndipo muziki halisi ulipo kwa sasa.
Ameyasema hayo wakati akizungumza na baadhi ya waandishi wa habari na kusema hivi sasa kuna haja ya kuwekeza kwa wasanii chipukizi kwa kuwa hao wasanii wakubwa hawafanyi mziki bali wanafanya maonesho ya biashara na utajiri walionao
Hata hivyo amewataka wasanii chipukizi kuendelea kujituma na kuongeza ubunifu Zaidi katikia kazi zao.