Usiku Mwanana Usiku Mwanana ni kipindi cha majadiliano ya familia na maisha ya kijamii kinachoruka usiku, kikijumuisha...
Radio Kwizera Admin
John Francis Mukulu SJ ni Mmjezuiti na mhandisi mzoefu wa mifumo ya TEHAMA. Ana BSc ya Sayansi ya Kompyuta, PGD na MA ya Falsafa kutoka Arrupe Jesuit University, MSc ya Sayansi na Uhandisi wa Kijani kutoka Chuo Kikuu cha Sophia, Japan, na anasoma PhD akijikita katika maadili ya Akili Mnemba (AI Ethics). Amewahi kuwa mhandisi mkuu UDSM, mtaalamu wa DHIS2 na mifumo ya Linux.
Kesha na RK Kesha na RK ni mkondo wa usiku wa manane hadi alfajiri unaounganisha muziki laini,...
DW Mchana DW Mchana ni dirisha la taarifa na uchambuzi wa kimataifa kutoka Deutsche Welle linalounganisha vipindi...
Nje ya Dimba Nje ya Dimba ni kipindi cha michezo kinachoangalia matukio ya kitaifa na kimataifa kwa...
Asubuhi Njema Asubuhi Njema ni kipindi cha majadiliano kinacholenga masuala ya kijamii, kisiasa na kiuchumi. Kipindi hiki...
Mchakato Mchakato ni kipindi cha majadiliano na mawasiliano ya moja kwa moja kinacholenga kuchunguza changamoto za maisha...
Connector Connector ni kipindi cha burudani na mtindo wa maisha kinachowalenga hasa vijana, lakini pia huwavutia wasikilizaji...
Mseto Leo Mseto Leo ni kipindi cha alasiri kinachounganisha taarifa, elimu na burudani katika mtiririko mmoja wa...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amewaagiza Watendaji Wakuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) na Wakala wa...
Taarifa kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) zinaeleza kuwa waasi wa M23 wameendelea kuimarisha ushawishi katika...
