Unataka biashara yako ionekane, isikike na kukumbukwa? Hapa ndipo mahali sahihi. Kupitia Radio Kwizera, ujumbe wako unafika kwa maelfu ya wasikilizaji kila siku.
Wateja wako halisi wanatafuta bidhaa na huduma kama zako, Usikose nafasi ya kujiweka mbele ya ushindani; tangaza nasi na uone matokeo halisi ya biashara yako kukua.
Swali ni je, uko tayari kuwafikia? wasiliana nasi leo
John Francis Mukulu SJ ni Mmjezuiti na mhandisi mzoefu wa mifumo ya TEHAMA. Ana BSc ya Sayansi ya Kompyuta, PGD na MA ya Falsafa kutoka Arrupe Jesuit University, MSc ya Sayansi na Uhandisi wa Kijani kutoka Chuo Kikuu cha Sophia, Japan, na anasoma PhD akijikita katika maadili ya Akili Mnemba (AI Ethics). Amewahi kuwa mhandisi mkuu UDSM, mtaalamu wa DHIS2 na mifumo ya Linux.