The Week-End The Week-End ni kipindi cha Ijumaa usiku kinachoandaa hadhira kuingia wikendi kwa mchanganyiko wa mawaidha,...
MUKULU SJ
John Francis Mukulu SJ ni Mmjezuiti na mhandisi mzoefu wa mifumo ya TEHAMA. Ana BSc ya Sayansi ya Kompyuta, PGD na MA ya Falsafa kutoka Arrupe Jesuit University, MSc ya Sayansi na Uhandisi wa Kijani kutoka Chuo Kikuu cha Sophia, Japan, na anasoma PhD akijikita katika maadili ya Akili Mnemba (AI Ethics). Amewahi kuwa mhandisi mkuu UDSM, mtaalamu wa DHIS2 na mifumo ya Linux.
RK Salaams Club RK Salaams Club ni kipindi kinachowakutanisha wanachama wa klabu za wasikilizaji wa Radio Kwizera...
Tumwimbie Bwana Tumwimbie Bwana ni kipindi cha Jumapili asubuhi kinacholenga kukuza maisha ya kiroho kupitia nyimbo za...
Machweo Machweo ni mwavuli mkubwa wa vipindi vya wikendi kuanzia mchana hadi usiku, ukiunganisha burudani, mazingira, kilimo,...
Ukumbi wa Matumaini Ukumbi wa Matumaini ni kipindi cha usiku kinachobeba simulizi za changamoto, faraja na mshikamano...
Sports Corner Sports Corner ni kipindi cha michezo cha jioni kinachobeba msisimko wa taarifa, maoni ya moja...
Listen online to Radio Kwizera 97.7 MHz FM for free – great choice for Ngara, Tanzania.
Unataka biashara yako ionekane, isikike na kukumbukwa? Hapa ndipo mahali sahihi. Kupitia Radio Kwizera, ujumbe wako unafika...
