Mpango wa elimu ya watu wazima umetajwa kuwa chachu ya mendeleo kwenye jamii kuwawezesha kubuni miradi mbalimbali...
Rehema Ruhotora
Rehema William Ruhotora ni mwandishi na mtangazaji wa redio na mtayarishaji wa vipindi vya kijamii mwenye uzoefu wa miaka zaidi ya miaka Tisa (9) na mwenye shauku kubwa katika mawasiliano uandishi na ubunifu. Anajivunia Kwa kipaji chake cha kuelimisha jamii kupitia vyombo vya Habari na lengo lake ikiwa kuendelea kukua katika tasnia ya Habari na mawasiliano kwa kuleta mabadiliko chanya kwenye jamii.
Imeelezwa kuwa mfumo wa elimu ya watu wazima mkoani Kagera unakabiliwa na changamoto ya mwamko duni wa...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema linafanya uratibu kwa karibu na serikali ya Kenya kukabiliana na matishio...
Wafugaji nchini wanatarajiwa kuongeza uzalishaji wa maziwa na kipato kupitia Mradi wa Tuzo Shindani za Watoa Huduma...
Wafugaji katika Kata ya Janda, wilayani Buhigwe mkoani Kigoma, wametakiwa kufuga kisasa ili kupunguza changamoto za uharibifu...
Wakulima wa miwa katika Kata ya Bonga, Wilayani Babati mkoani Manyara, wameanza kuchangamkia fursa ya kilimo hicho...
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limesisitiza kuwa mazingira safi na salama ni...
Wadau wa nishati safi ya kupikia nchini wameiomba serikali kuendelea kuharakisha upatikanaji wa teknolojia za kisasa za...
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Balozi Simon Sirro, amezitaka halmashauri za mkoa huo kuandaa sheria ndogo zitakazodhibiti...
Rais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi amezindua usafiri wa umma wa mabasi ya umeme na Kituo cha...
