Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameagiza mamlaka husika kumfukuza kazi na kumvua hadhi ya utabibu muuguzi mmoja...
Rehema W. Ruhotora
Rehema William Ruhotora ni mwandishi na mtangazaji wa redio na mtayarishaji wa vipindi vya kijamii mwenye uzoefu wa miaka zaidi ya miaka Tisa (9) na mwenye shauku kubwa katika mawasiliano uandishi na ubunifu. Anajivunia Kwa kipaji chake cha kuelimisha jamii kupitia vyombo vya Habari na lengo lake ikiwa kuendelea kukua katika tasnia ya Habari na mawasiliano kwa kuleta mabadiliko chanya kwenye jamii.
Mahakama ya Wilaya ya Mkinga mkoani Tanga imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela mtuhumiwa Richard Peter Mahimbo...
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, ametoa maagizo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za...
