Mpango wa elimu ya watu wazima umetajwa kuwa chachu ya mendeleo kwenye jamii kuwawezesha kubuni miradi mbalimbali ya maendeleo na kiunuka kiuchumi.
Zaidi tuungane na mwandishi wetu Rehema William Ruhotora Kutoka Wilaya ya ngara mkoani Kagera

Author
Rehema William Ruhotora ni mwandishi na mtangazaji wa redio na mtayarishaji wa vipindi vya kijamii mwenye uzoefu wa miaka zaidi ya miaka Tisa (9) na mwenye shauku kubwa katika mawasiliano uandishi na ubunifu. Anajivunia Kwa kipaji chake cha kuelimisha jamii kupitia vyombo vya Habari na lengo lake ikiwa kuendelea kukua katika tasnia ya Habari na mawasiliano kwa kuleta mabadiliko chanya kwenye jamii.