Walei na waamini wote Jimbo Katoliki la Geita wameaswa kutoa ushirikiano kwa Mapadre ili kuongeza ufanisi katika...
AMINA SEMAGOGWA
Amina Deogratius Semagogwa (SEMA G)
ni mwandishi wa habari na mtangazaji mahiri wa Radio mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 10 katika tasnia ya habari, Amebobea katika kuandaa na kuendesha vipindi vyenye uzito vinavyolenga kuibua mijadala ya kijamii, hususan katika malezi bora ya watoto na masuala ya utawala bora.
Kupitia kalamu na sauti yake Amina ametunukiwa tuzo zaidi ya 10 za uandishi bora wa habari nchini Tanzania , Amina amejijengea nafasi ya kuwa daraja kati ya jamii na maarifa, akiamini kuwa uandishi wa habari si kuripoti tu bali ni chombo cha kuelimisha, kuhamasisha na kuleta mabadiliko chanya, Ana mtindo wa kipekee unaochanganya weledi, uchambuzi na uwasilishaji unaogusa maisha halisi ya watu.
Kauli mbiu: Sauti ya jamii, dira ya mabadiliko.
Wakristo wamehimizwa kuendelea kumsikiliza Mungu, kutokata tamaa wanapokutana na changamoto mbalimbali za maisha na kuendelea kuishuhudia Injili...
Baba Mtakatifu Papa Leo XIV leo Alhamisi Juni 11, 2026 ameondoka jijini Barcelona kuelekea Las Palmas de...
Papa Leo XIV amewataka wafungwa wanaotumikia vifungo katika Kituo cha Wafungwa cha Brians 1 kilichopo nje kidogo...
Mtawa wa Shirika la Watumishi wa Moyo Mtakatifu wa Yesu kutoka Kenya, Sister Anne Ilia, amesema ana...
Papa Leo XIV amewasili jijini Barcelona nchini Hispania leo Jumanne Juni 9, 2026, ikiwa ni hatua ya...
Jumuiya ya Wanawake Wakatoliki Tanzania (WAWATA) imewataka wanawake kutumia teknolojia ya Akili Unde kwa hekima na maadili...
Papa Leo wa XIV ameonesha masikitiko makubwa kufuatia kuuawa kwa Askofu wa Jimbo Katoliki la Quelimane na...
Papa Leo wa XIV amekutana na Waziri Mkuu wa Hispania, Pedro Sánchez Pérez-Castejón, katika mkutano mfupi wa...
Mahujaji wa Kitanzania wameanza kurejea nchini baada ya kukamilisha ibada ya Hija katika Miji Mitakatifu ya Makkah...
