1 thought on “Mr Nice: Wasanii Wengi Walitumia Upepo Wangu Kutoboa Kimuziki”

  1. Shukrani Joyce kwa kuleta habari nzuri ya burudani. Naomba kutoa maoni kuhusu matumizi ya maneno ‘majina makubwa’ katika habari hii. Sio vibaya kuyatumia katika muktadha wa burudani, ila mwandishi alipaswa kutumia ‘wasanii maarufu’, ili kuhakikisha uwasilishaji wa ujumbe unakuwa sahihi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *