Picha za matukio mbalimbali ya tamasha la kijana smart kuanzia jogging,mpira wa miguu kwa wanawake na wanaume,mchezo wa draft,volleyball na mbio za mita 100.

































Tamasha hili lilifanyika tarehe 25 mwezi wa 7 mwaka 2026 katika uwanja wa posta wilayani ngara mkoani Kagera








































































































































































































































































































































































































































































Natoa pongezi kwa mwanahabari Joyce kwa kazi nzuri ya kuihabarisha jamii kuhusu tukio hili. Nina maoni machache, sijaona picha za mechi za mpira wa wavu. Zilipaswa kuwepo kama zilichezwa. Vile vile kuna marekebisho yalihitajika. Uandishi wa neno ‘ngara’ sio sahihi, usahihi wa uandishi ni Ngara. Namtakia kila la heri katika kazi yake.