Baba Mtakatifu Leo XIV anatarajiwa kufanya ziara ya kichungaji katika San Marino mnamo Agosti 22, 2026, ikiwa...
Amina Semagogwa
Amina Deogratius Semagogwa (SEMA G)
ni mwandishi wa habari na mtangazaji mahiri wa Radio mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 10 katika tasnia ya habari, Amebobea katika kuandaa na kuendesha vipindi vyenye uzito vinavyolenga kuibua mijadala ya kijamii, hususan katika malezi bora ya watoto na masuala ya utawala bora.
Kupitia kalamu na sauti yake Amina ametunukiwa tuzo zaidi ya 10 za uandishi bora wa habari nchini Tanzania , Amina amejijengea nafasi ya kuwa daraja kati ya jamii na maarifa, akiamini kuwa uandishi wa habari si kuripoti tu bali ni chombo cha kuelimisha, kuhamasisha na kuleta mabadiliko chanya, Ana mtindo wa kipekee unaochanganya weledi, uchambuzi na uwasilishaji unaogusa maisha halisi ya watu.
Kauli mbiu: Sauti ya jamii, dira ya mabadiliko.
Baba Mtakatifu Leo XIV ametoa wito kwa Maaskofu Katoliki nchini Italia kuendelea kuimarisha ushiriki wa waamini katika...
Papa Leo XIV amemteua Antonio Di Iorio kuwa Mkurugenzi mpya wa Mfuko wa Usaidizi wa Afya wa...
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Tabora Kardinal Protase Rugambwa amesema Serikali imeendelea kuunga mkono juhudi za...
Rais wa Albania Bajram Begaj amefanya ziara rasmi mjini Vatican City na kukutana na Baba Mtakatifu Papa...
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Leo XIV, ametembelea na kuingia katika msikiti mkubwa zaidi nchini Algeria,...
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, TEC linasikitika kutangaza kifo cha Askofu Bernardin Francis Mfumbusa wa Jimbo Katoliki...
Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Leo XIV, ameanza rasmi ziara ya siku 10 Barani Afrika,...
Paroko wa Parokia ya Bikira Maria Kisasa, Sostenes Ndendya, ametoa wito kwa waumini na wananchi kwa ujumla...
Baraza kuu la maaskofu wa kanisa katoliki nchini DRC limeonya kuhusu mabadiliko ya katiba nchini humo na...
