Papa Leo XIV amewasili jijini Barcelona nchini Hispania leo Jumanne Juni 9, 2026, ikiwa ni hatua ya...
Amina Semagogwa
Amina Deogratius Semagogwa (SEMA G)
ni mwandishi wa habari na mtangazaji mahiri wa Radio mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 10 katika tasnia ya habari, Amebobea katika kuandaa na kuendesha vipindi vyenye uzito vinavyolenga kuibua mijadala ya kijamii, hususan katika malezi bora ya watoto na masuala ya utawala bora.
Kupitia kalamu na sauti yake Amina ametunukiwa tuzo zaidi ya 10 za uandishi bora wa habari nchini Tanzania , Amina amejijengea nafasi ya kuwa daraja kati ya jamii na maarifa, akiamini kuwa uandishi wa habari si kuripoti tu bali ni chombo cha kuelimisha, kuhamasisha na kuleta mabadiliko chanya, Ana mtindo wa kipekee unaochanganya weledi, uchambuzi na uwasilishaji unaogusa maisha halisi ya watu.
Kauli mbiu: Sauti ya jamii, dira ya mabadiliko.
Jumuiya ya Wanawake Wakatoliki Tanzania (WAWATA) imewataka wanawake kutumia teknolojia ya Akili Unde kwa hekima na maadili...
Papa Leo wa XIV ameonesha masikitiko makubwa kufuatia kuuawa kwa Askofu wa Jimbo Katoliki la Quelimane na...
Papa Leo wa XIV amekutana na Waziri Mkuu wa Hispania, Pedro Sánchez Pérez-Castejón, katika mkutano mfupi wa...
Mahujaji wa Kitanzania wameanza kurejea nchini baada ya kukamilisha ibada ya Hija katika Miji Mitakatifu ya Makkah...
Waumini wa Kanisa Katoliki duniani kote leo wanaadhimisha Jumapili ya Ekaristi Takatifu, siku maalum inayowakumbusha nafasi ya...
Baba Mtakatifu Leo XIV ameridhia ombi lililowasilishwa kwake na Askofu Daniel Mizonzo wa Jimbo Katoliki Nkayi, Jamhuri...
Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge Ngara, Severine Niwemugizi, ameadhimisha siku yake ya kuzaliwa huku akitafakari safari...
Kongamano la Sita la Kitaifa la Utoto Mtakatifu lililokuwa lifanyike kuanzia Juni 18 hadi 22 mwaka huu...
Askofu wa Jimbo Katoliki la Geita, Flavian Kassala ametoa wito kwa wazazi na walezi nchini kutimiza wajibu...
