Mkuu wa Wilaya ya Muleba mkoani Kagera Dkt. Abel Nyamahanga ameziagiza taasisi zote zinazolisha watu zaidi ya...
Rehema W. Ruhotora
Rehema William Ruhotora ni mwandishi na mtangazaji wa redio na mtayarishaji wa vipindi vya kijamii mwenye uzoefu wa miaka zaidi ya miaka Tisa (9) na mwenye shauku kubwa katika mawasiliano uandishi na ubunifu. Anajivunia Kwa kipaji chake cha kuelimisha jamii kupitia vyombo vya Habari na lengo lake ikiwa kuendelea kukua katika tasnia ya Habari na mawasiliano kwa kuleta mabadiliko chanya kwenye jamii.
Jamii wilayani Ngara mkoani Kagera imetakiwa kuendelea kutunza mazingira kwa kupanda na kulinda misitu ili kukabiliana na...
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) imesema maonesho ya elimu ya mazingira yatafanyika...
Zaidi ya miti laki tano imepandwa katika Manispaa ya Tabora ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku...
Serikali ya Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera inawasaka watuhumiwa sita, wakiwemo wenyeviti wa vitongoji watatu, kwa tuhuma...
Baadhi ya wakazi wa wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma wameomba wadau wa mazingira na serikali kuendelea kutoa...
Wakazi wa Halmashauri ya mji wa Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa Kuepuka kufanya shughuli za kilimo karibu na...
Wakala wa Nishati Vijijini imeanza utekelezaji wa mpango mkakati wa kitaifa wa nishati safi ya kupikia ili...
Baadhi ya wakulima wa zao la kahawa wilayani Karagwe Mkoani Kagera wamelalamikia kukosa miche ya zao hilo...
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeanza kuchukua hatua madhubuti kuhakikisha inawafikia wananchi popote walipo...
