Taarifa kutoka DRC zinaeleza kuwa mapigano kati ya waasi wa M23 na vikosi vya serikali yameendelea katika...
Radio Kwizera Admin
John Francis Mukulu SJ ni Mmjezuiti na mhandisi mzoefu wa mifumo ya TEHAMA. Ana BSc ya Sayansi ya Kompyuta, PGD na MA ya Falsafa kutoka Arrupe Jesuit University, MSc ya Sayansi na Uhandisi wa Kijani kutoka Chuo Kikuu cha Sophia, Japan, na anasoma PhD akijikita katika maadili ya Akili Mnemba (AI Ethics). Amewahi kuwa mhandisi mkuu UDSM, mtaalamu wa DHIS2 na mifumo ya Linux.
Kiongozi mpya wa Kanisa Katoliki, Papa Leo XIV, amejitambulisha kwa waumini na dunia kwa kutoa salamu zake...
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, amesema serikali imeanza kuchukua hatua za kudhibiti vitendo vinavyotishia usalama na amani...
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali yake haitakiwi kuamrishwa, kupewa masharti, au kuelekezwa namna ya kuendesha...
Mwili wa Mtanzania aliyeuawa Israel, Joshua Mollel umewasili nyumbani kwao Mtaa wa Njiro mji mdogo wa Orkesumet...
Mwendesha pikipiki Stefano Maziku (25), mkazi wa Igwesa, Kijiji cha Iboja, wilaya ya kipolisi Ushetu mkoani Shinyanga,...
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Hussein Mohamed Omar amesema Serikali itaendelea kuhakikisha...
Wanafunzi wa kidato cha pili takribani 898, 755 wanafanya mtihani wa upimaji wa kitaifa (FTNA) kuanzia leo...
Watu 12 wanahofiwa kufariki dunia baada ya ndege ndogo aina ya Cessna Caravan yenye nambari ya usajili...
Taasisi ya Saratani Ocean Road, imesema kuna ongezeko la saratani ya matiti kwa wanaume kutoka mmoja kati...
