Baada ya mitandao ya kijamii kusambaza tetesi za kuvunjika kwa penzi lake na Kajala, Harmonize ameweka wazi hali halisi ya mahusiano yao. Katika ujumbe wake mtandaoni.
Harmonize ameelezea jinsi anavyothamini muda wake na Kajala, na jinsi anavyofurahia kuona mashabiki wakiwafariji na kusema wanapendeza pamoja.
Pia, amesisitiza ombi kwa wanaowafuatulia kuheshimu faragha yao.
Ujumbe huu unaonyesha wazi kuwa Harmonize anataka kulinda mahusiano yake na Kajala na kuhimiza mashabiki kuheshimu faragha yao, huku akisisitiza kuwa ushauri wa wengine unaweza kuingilia na kuleta changamoto zisizo za lazima kwenye maisha yao binafsi.