ALBERT Kavano

Albert Andrea Kavano (Dokta Love) Ni Mwandishi wa habari na Mtangazaji wa Redio Kwizera. Ni mzoefu katika Tasnia ya habari Kwa Zaidi ya miaka 10. Amebobea katika Masuala Mtambuka Kuntu, ya Afya, Kijamii, Siasa, Utawala Bora na Mahusiano ya Familia. Kupitia Kazi zake Albert amejijengea Sifa ya usaidizi kwa Jamii katika Kuibua changamoto zinazowakabili wananchi, Utatuzi wa Migogoro, Ukosoaji na Kujenga daraja kubwa Kati ya jamii na Serikali katika muktadha wa maendeleo ya jamii na Taifa.