
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesisitiza agizo la kutotumia fedha za kigeni kufanya miamala isipokuwa katika mambo yaliyoruhusiwa pekee
Akizungumza hayo Mkurugenzi wa Masoko ya Fedha BOT Emmanuel Akaro amesema kwa wanaohitaji kufanya hivyo ni mpaka wapate kibari kutoka Wizara ya Fedha.
Tazama Video kwa kubofya link hapo chini
https://www.instagram.com/reel/DJ6ExNdC8Ht/?igsh=NXh4dXdscWx0MDlx