Rapa Nicki Minaj anakabiliwa na hatari ya kupoteza nyumba yake ya thamani ya dolashilingi bilioni 50,5, ikiwa hatalipa shilingi 1,269,600 kwa aliyekuwa mlinzi wake, Thomas Weidenmuller.
Kesi hiyo ilihusiana na shambulio lililotokea mwaka 2019 likimuhusisha mume wa Nicki, Kenneth Petty, ambapo Thomas alidai alijeruhiwa.
Mahakama ya Juu ya Los Angeles, chini ya hakimu Cindy Pánuco, iliamua kuwa nyumba hiyo inaweza kuuuzwa ili kulipa deni, lakini ilihitaji kuangalia kwanza jinsi Nicki Minaj alivyoilipa baadhi ya mkopo wa nyumba hiyo uliokuwabilioni 32.8.
Uamuzi wa mwisho unatarajiwa Alhamisi, Januari 22, na Nicki lazima alipe au atapata rufaa ya mwisho ili kuepuka kupoteza mali yake.
Kwa kifupi, mume wake alishambulia, na kwa sababu ya uhusiano wao, Nicki sasa anakabiliwa na kufidia mali yake kutokana na matokeo ya shambulio hilo na hali ya uhusiano wao