
Msanii wa hip hop Rapcha amesema kuwa Kwenye video za Lissa 2 & 3, Rapcha alishirikiana na MillardAyo kama Daktari, wazo lililotolewa na P Funk.
Akizungumza na mapema leo Rapcha amesema Millard alikubali na kufanya kazi hiyo vizuri.
Rapcha pia amewashukuru wahusika wote wa mfululizo wa wimbo wake wa Lissa kutoka sehemu ya kwanza hadi ya tatu.
Hata hivyo wimbo wa Lisa wa Rapcha ulimfikisha watazamaji zaidi ya milioni 1.5 kwenye YouTube.