Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umesema utalipelekea Gereza la Kasulu mkoani Kigoma mashine moja ya kisasa ya kutengeneza mkaa mbadala.