Skip to content
September 13, 2025
  • Youtube
  • Instagram
  • Facebook
  • TikTok
  • Twitter
  • SoundClauds

Radio Kwizera

Jukwaa la Matumaini

Primary Menu
  • HOME
  • KITAIFA
    • HABARI
    • TANZANIA
    • JAMII
    • SIASA
    • BIASHARA
  • AFRIKA MASHARIKI
  • KIMATAIFA
  • MICHEZO
    • BURUDANI
  • VIDEO
    • MICHEZO
    • RK NEWS
    • MSETO LEO
    • UCHAMBUZI
    • ZOTE
  • KUHUSU SISI
  • WASILIANA NASI
  • VIPINDI VYETU
  • Home
  • Tanzania
  • TFS – Chato umeweka mkakati wa kukuza uchumi wa kaboni
  • Afrika Mashariki
  • Biashara na Uchumi
  • Habari
  • Health
  • Tanzania

TFS – Chato umeweka mkakati wa kukuza uchumi wa kaboni

Build Your Website in Minutes with One-Click Import – No Coding Hassle!
Radio Kwizera April 10, 2025
tc-el-desarrollo-sustentable-y-el-gas-natural-1200x675

Wakala wa huduma za misitu Tanzania TFS wilaya ya Chato mkoani Geita amesema ameweka mkakati wa kukuza uchumi wa kaboni katika wilaya hiyo kwa kuwafundisha vijana mbinu Bora za upandaji wa miti katika mazingira.

Mkuu wa hifadhi ya shamba la miti Silayo wilayani humo mhifadhi mwandamizi wa misitu Juma Mwita ameeleza hayo wakati akiongea na radio Kwizera juu ya namna ambavyo idara hiyo imejipanga kukuza uchumi unaotokana na misitu (kaboni)

Amesema zaidi ya vijana elfu ishirini wamekwisha jiandikisha kwa ajili ya kupatiwa mafunzo na kwamba kwa wale watakaokua na mashamba watapewa miche bure ili wakalisaidie taifa kuhamasisha uchumi utokanao na mazao ya misitu.

Mkuu wa wilaya ya Chato Louis Bura amesema mkakati huo ni mzuri na una manufaa katika uhifadhi wa mazingira na kuwataka vijana wa wilaya hiyo kuhakikisha wanachangamkia fursa za upandaji wa miti na kwamba biashara ya mazao ya misitu ina soko la uhakika.

Continue Reading

Previous: Rais Ruto wa Kenya amesema kuwa mageuzi ya kitaasisi, Umoja wa Afrika yanafungua fursa za biashara Afrika
Next: Vipindi vyetu vyote

Related Stories

IMG-20250913-WA0106
  • Habari

Miradi ya bilioni 2.7 kukaguliwa na kuzinduliwa Ngara

Joyce Hamka September 13, 2025
WhatsApp Image 2025-09-10 at 7.19.40 PM
  • Habari

Bilioni 4 kutumika kwenye ujenzi wa mifereji Kigoma

Radio Kwizera September 11, 2025
WhatsApp Image 2025-09-10 at 10.35.08 PM
  • Biashara na Uchumi

Shinyanga kuzindua dawati la uwezeshaji biashara

Radio Kwizera September 11, 2025

Connect with Us

  • Youtube
  • Instagram
  • Facebook
  • TikTok
  • Twitter
  • SoundClauds

Trending News

Miradi ya bilioni 2.7 kukaguliwa na kuzinduliwa Ngara IMG-20250913-WA0106 1

Miradi ya bilioni 2.7 kukaguliwa na kuzinduliwa Ngara

September 13, 2025
NMB Kibondo yaahidi ushirikiano tawi la Simba Kitahana WhatsApp Image 2025-09-10 at 4.51.46 PM 2

NMB Kibondo yaahidi ushirikiano tawi la Simba Kitahana

September 11, 2025
Bilioni 4 kutumika kwenye ujenzi wa mifereji Kigoma WhatsApp Image 2025-09-10 at 7.19.40 PM 3

Bilioni 4 kutumika kwenye ujenzi wa mifereji Kigoma

September 11, 2025
Shinyanga kuzindua dawati la uwezeshaji biashara WhatsApp Image 2025-09-10 at 10.35.08 PM 4

Shinyanga kuzindua dawati la uwezeshaji biashara

September 11, 2025
TAKUKURU Geita yawataka wasimamizi wa uchaguzi kutenda haki WhatsApp Image 2025-09-11 at 2.41.39 PM 5

TAKUKURU Geita yawataka wasimamizi wa uchaguzi kutenda haki

September 11, 2025

ulizokosa

IMG-20250913-WA0106
  • Habari

Miradi ya bilioni 2.7 kukaguliwa na kuzinduliwa Ngara

Joyce Hamka September 13, 2025
WhatsApp Image 2025-09-10 at 4.51.46 PM
  • Michezo

NMB Kibondo yaahidi ushirikiano tawi la Simba Kitahana

Radio Kwizera September 11, 2025
WhatsApp Image 2025-09-10 at 7.19.40 PM
  • Habari

Bilioni 4 kutumika kwenye ujenzi wa mifereji Kigoma

Radio Kwizera September 11, 2025
WhatsApp Image 2025-09-10 at 10.35.08 PM
  • Biashara na Uchumi

Shinyanga kuzindua dawati la uwezeshaji biashara

Radio Kwizera September 11, 2025

About Radio kwizera

Radio Kwizera was established in 1995 by the Jesuit Refugee Service (JRS) to provide social services, education, and information to refugees from Rwanda and Burundi who were living in refugee camps in the Kagera and Kigoma regions of Tanzania.

Tags

amani Biashara Biharamulo Business CCM CHADEMA Demokrasia Diplomasia Geita Haki za uchaguzi Jeshi la polisi Jeshi la polisi Geita KAGERA Kahama Kampeni Kanisa Katoliki Kigoma kushirikiana makamu wa rais Mazingira Mgodi Miradi ya maendeleo Muleba Mwanza Mwenge wa uhuru Newsbeat Ngara nishati safi Radio Kwizera Rais Samia Rais wa Zanzibar TAKUKURU Uchaguzi Uchumi Uchunguzi Uimarishaji Mipaka ujenzi UKIMWI Ulinzi Ushirikiano Waganga wa kienyeji Waziri Mkuu Wizara ya Afya wizara ya mifugo Wizara ya Nishati
  • Youtube
  • Instagram
  • Facebook
  • TikTok
  • Twitter
  • SoundClauds
© Radio Kwizera | MoreNews | Backend by John F. Mukulu SJ