Mkuu wa wilaya ya Kigoma Rashid Chuachua amezitaka mamlaka zinazosimamia usafi wa mazingira katika manispaa ya Kigoma Ujiji kuchukua hatua dhidi ya watu wasiotekeleza jukumu la usafi katika makazi yao na maeneo ya biashara
Chuachua ameyasema hayo kwa nyakati tofauti alipotembelea wafanyabiashara katika masoko ya Masanga na Mwandiga kwa lengo la kuwakumbusha wananchi kuzingatia usafi hususani ni kipindi hiki cha masika.
Ameongeza kuwa suala la usafi ni lazima kwa kila mwananchi ili kuepuka magonjwa ya
Baadhi ya wafanayabishara wa maeneo hayo wameiomba serikali kuboresha miundombinu ya masoko ikiwemo mitaro na mifereji ili kuweka mazingira wezeshi kwa wafanyabiashara
