Skip to content
August 27, 2025
  • Youtube
  • Instagram
  • Facebook
  • TikTok
  • Twitter
  • SoundClauds

Radio Kwizera

Jukwaa la Matumaini

Primary Menu
  • HOME
  • KITAIFA
    • HABARI
    • TANZANIA
    • JAMII
    • SIASA
    • BIASHARA
  • AFRIKA MASHARIKI
  • KIMATAIFA
  • MICHEZO
    • BURUDANI
  • VIDEO
    • MICHEZO
    • RK NEWS
    • MSETO LEO
    • UCHAMBUZI
    • ZOTE
  • KUHUSU SISI
  • WASILIANA NASI
  • VIPINDI VYETU
  • Home
  • Tanzania
  • Wananchi manispaa ya Bukoba, Kagera wanaoishi maeneo yanayojaa maji wametakiwa kuchukua tahadhari
  • Afrika Mashariki
  • Habari
  • Majanga
  • Newsbeat
  • Tanzania

Wananchi manispaa ya Bukoba, Kagera wanaoishi maeneo yanayojaa maji wametakiwa kuchukua tahadhari

Build Your Website in Minutes with One-Click Import – No Coding Hassle!
Radio Kwizera April 10, 2025
bukoba-6

Wananchi katika manispaa ya Bukoba mkoani Kagera wanaoishi maeneo ambayo nyumba zao hujaa maji pindi mvua zinaponyesha wametakiwa kuchukua tahadhari ya kwenda maeneo salama ili kuepuka athari zinazoweza kujitokeza.

Rai hiyo imetolewa na kutoka kitengo cha mazingira kinachojihusisha na mambo ya maafa katika kanisa la KKT dayosisi ya kaskazini magharibi pamoja na shirika la TCRS Bw. Danson Kateme wakati akizungumza na Radio kwizera na kueleza kuwa ili kuwa salama ni muhimu wananchi wakachukua hatua ya usalama wao wakati wa mvua zinaponyesha.

Aidha baadhi ya wananchi ambao wanaathirika na maji katika nyumba zao wakati wa mvua zinaponyesha  Bw;Anacret Byamungu, Bi;Ameriani Waagira pamoja na Bw;Rameck Vedasto  waeiomba serikali kuwapatia makazi ya muda lakini pia kuiomba serikali kutengeneza miundo mbinu bora  itakayopisha maji vizuri na kuepusha mafuriko katika nyumba zao.

Continue Reading

Previous: Rais Ruto wa Kenya amesema kuwa mageuzi ya kitaasisi, Umoja wa Afrika yanafungua fursa za biashara Afrika
Next: Vipindi vyetu vyote

Related Stories

TRC
  • Habari

TRC kubadili namna ya kujiendesha na kujisimamia

Radio Kwizera August 27, 2025
DSC_0144
  • Habari

Halmashauri ya Msalala yazindua chanjo ya wanyama wa kufugwa

Joyce Hamka August 25, 2025
IMG-20250825-WA0055
  • Habari

Wanafunzi 800 waondokana na changamoto ya vyoo Biharamulo

Joyce Hamka August 25, 2025

Connect with Us

  • Youtube
  • Instagram
  • Facebook
  • TikTok
  • Twitter
  • SoundClauds

Trending News

TLS yakemea viashiria vya mgawanyiko uchaguzi mkuu TLS 1

TLS yakemea viashiria vya mgawanyiko uchaguzi mkuu

August 27, 2025
TRC kubadili namna ya kujiendesha na kujisimamia TRC 2

TRC kubadili namna ya kujiendesha na kujisimamia

August 27, 2025
Halmashauri ya Msalala yazindua chanjo ya wanyama wa kufugwa DSC_0144 3

Halmashauri ya Msalala yazindua chanjo ya wanyama wa kufugwa

August 25, 2025
Elimu ya watu wazima ni zana ya maendeleo endelevu IMG-20250825-WA0074 4

Elimu ya watu wazima ni zana ya maendeleo endelevu

August 25, 2025
Wanafunzi 800 waondokana na changamoto ya vyoo Biharamulo IMG-20250825-WA0055 5

Wanafunzi 800 waondokana na changamoto ya vyoo Biharamulo

August 25, 2025

ulizokosa

TLS
  • Jamii
  • Siasa

TLS yakemea viashiria vya mgawanyiko uchaguzi mkuu

Radio Kwizera August 27, 2025
TRC
  • Habari

TRC kubadili namna ya kujiendesha na kujisimamia

Radio Kwizera August 27, 2025
DSC_0144
  • Habari

Halmashauri ya Msalala yazindua chanjo ya wanyama wa kufugwa

Joyce Hamka August 25, 2025
IMG-20250825-WA0074
  • Elimu na Afya

Elimu ya watu wazima ni zana ya maendeleo endelevu

Joyce Hamka August 25, 2025

About Radio kwizera

Radio Kwizera was established in 1995 by the Jesuit Refugee Service (JRS) to provide social services, education, and information to refugees from Rwanda and Burundi who were living in refugee camps in the Kagera and Kigoma regions of Tanzania.

Tags

amani Biashara Biharamulo Business CCM CHADEMA Dawa za kulevya Demokrasia Diplomasia Geita Hukumu Jeshi la polisi Kampeni Kanisa Katoliki Kasulu Katibu mkuu Kigoma kushirikiana makamu wa rais Mgodi miundombinu Muleba Newsbeat Ngara nishati safi Radio Kwizera Rais Samia Sheria TAKUKURU Teknolojia Uchaguzi uchaguzi mkuu Uchumi Uchunguzi Uimarishaji Mipaka Ulinzi Uokoaji Ushirikiano Vijana Waganga wa kienyeji Wakuu wa Idara Waziri Mkuu Wizara ya Afya Wizara ya Ardhi wizara ya mifugo
  • Youtube
  • Instagram
  • Facebook
  • TikTok
  • Twitter
  • SoundClauds
© Radio Kwizera | MoreNews | Backend by John F. Mukulu SJ