Skip to content
July 5, 2025
  • Youtube
  • Instagram
  • Facebook
  • TikTok
  • Twitter
  • SoundClauds

Radio Kwizera

Jukwaa la Matumaini

Primary Menu
  • HOME
  • KITAIFA
    • HABARI
    • TANZANIA
    • JAMII
    • SIASA
    • BIASHARA
  • AFRIKA MASHARIKI
  • KIMATAIFA
  • MICHEZO
    • BURUDANI
  • VIDEO
    • MICHEZO
    • RK NEWS
    • MSETO LEO
    • UCHAMBUZI
    • ZOTE
  • KUHUSU SISI
  • WASILIANA NASI
  • VIPINDI VYETU
  • Home
  • Tanzania
  • Sekta ya umeme bado inakabiliwa na changamoto za mabadiliko ya Tabianchi
  • Habari
  • Newsbeat
  • Tanzania
  • Tech

Sekta ya umeme bado inakabiliwa na changamoto za mabadiliko ya Tabianchi

Build Your Website in Minutes with One-Click Import – No Coding Hassle!
RADIO KWIZERA April 10, 2025
01HZ7RQKR6TYYD39Y8VVF0KP4N

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amesema pamoja na jitihada kubwa zilizofanywa na serikali kuhakikisha upatikanaji wa nishati ya umeme, mafuta, na gesi asilia, sekta ya umeme bado inakabiliwa na changamoto za mabadiliko ya tabianchi na uharibifu wa mazingira.

Dkt. Biteko ametoa kauli hiyo jana jijini Dodoma wakati akizindua taarifa ya maendeleo ya utendaji katika sekta ya nishati kwa mwaka 2023/24.

Amesema kumekuwa na kilio kikubwa ndani ya sekta hiyo kutokana na vyanzo vingi vya maji vinavyotumika kuzalisha umeme kuharibiwa vibaya, hali inayochangia kuendelea kwa changamoto ya upatikanaji wa umeme.

Aidha, amesema upungufu na uchakavu wa miundombinu ya umeme umeendelea kuwa changamoto sugu, na kwamba serikali sasa inafanya marekebisho makubwa ya kimkakati katika miundombinu hiyo.

Continue Reading

Previous: Rais Ruto wa Kenya amesema kuwa mageuzi ya kitaasisi, Umoja wa Afrika yanafungua fursa za biashara Afrika
Next: Vipindi vyetu vyote

Related Stories

ZOEZI LA KAMPENI YA CHANJO NA UTAMBUZI WA MIFUGO LAANZA KIGOMA.NG’OMBE 800 NA KUKU 100 ZACHANJWA
  • Elimu na Afya
  • Jamii
  • Tanzania

Wafugaji mkoani Kigoma watakiwa kuitikia uchanjaji wa mifugo.

RADIO KWIZERA July 4, 2025
Ajali same
  • Habari

Serikali imetoa Sh.milioni 126 kwaajili ya maziko ajali ya Same

RADIO KWIZERA July 3, 2025
khatibu
  • Habari

Tume ya Haki za Binadamu waangalizi wa uchaguzi mkuu

RADIO KWIZERA July 3, 2025

ulizokosa

ZOEZI LA KAMPENI YA CHANJO NA UTAMBUZI WA MIFUGO LAANZA KIGOMA.NG’OMBE 800 NA KUKU 100 ZACHANJWA
  • Elimu na Afya
  • Jamii
  • Tanzania

Wafugaji mkoani Kigoma watakiwa kuitikia uchanjaji wa mifugo.

RADIO KWIZERA July 4, 2025
Ajali same
  • Habari

Serikali imetoa Sh.milioni 126 kwaajili ya maziko ajali ya Same

RADIO KWIZERA July 3, 2025
khatibu
  • Habari

Tume ya Haki za Binadamu waangalizi wa uchaguzi mkuu

RADIO KWIZERA July 3, 2025
Gerison msigwa
  • Habari

Serikali ya kanusha njama ya kumwekea sumu Tundu Lissu,

RADIO KWIZERA July 3, 2025

About Radio kwizera

Radio Kwizera was established in 1995 by the Jesuit Refugee Service (JRS) to provide social services, education, and information to refugees from Rwanda and Burundi who were living in refugee camps in the Kagera and Kigoma regions of Tanzania.

Tags

Afya amani Biashara Business CCM Geita Hukumu Jeshi la polisi Jeshi la polisi Geita Kakonko DC Katibu mkuu Kigoma kuongeza doria kushirikiana kuwatunza wazee makamu wa rais mali ya wizi Mgodi Michezo Muleba Mwamapalala Newsbeat NIDA Papa Leo XIV Radio Kwizera Rais Samia Rais Samia simiyu Shule ya amali Silaha uchaguzi mkuu Uimarishaji Mipaka ujenzi simiyu Ukatili Ulinzi Uzinduzi vibaka WAFUGAJI Wasira watoto kulea wazee watu wanne wameuwawa Waziri Mkuu wilaya ya kakonko Wizara ya Afya Wizara ya Ardhi World
  • Youtube
  • Instagram
  • Facebook
  • TikTok
  • Twitter
  • SoundClauds
© Radio Kwizera | MoreNews | Backend by John F. Mukulu SJ