Gianni Infantino amesema wachezaji wanaofunika midomo kwa jezi zao wanapozungumza uwanjani wanaweza kupewa kadi nyekundu iwapo watabainika...
ABUBAKAR West
Abubakar West ni mwandishi wa habari za michezo na mtayarishaji wa maudhui ya kidijitali mwenye ari ya kuibua na kusimulia hadithi za michezo kwa mtazamo wa kipekee. Akiwa na uzoefu katika kuripoti na kuchambua matukio ya michezo, hujikita katika kuwasilisha taarifa sahihi zenye takwimu, historia ya michezo na uchambuzi wa rekodi mbalimbali ili kuipa hadhira uelewa mpana zaidi.
Pedro Goncalves, Kocha Mkuu wa Yanga SC, amesema kuwa mchezaji Dickson Job ameumia na anatarajiwa kuwa nje...
