Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Utamaduni na Sanaa Tanzania, CPA (T) Nyakaho Mahemba, ametoa wito kwa...
Joyce Hamka
Mtangazaji wa Redio, mwandishi wa habari, mtayarishaji wa vipindi kupitia Radio Kwizera ya Ngara, Kagera TZ.
Shauku yake ni kusimulia hadithi zenye ukweli, mguso na athari kwa jamii akijikita katika kuibua masuala muhimu kwenye jamii.
Uzoefu wake wa zaidi ya miaka mitano katika utangazaji, uandishi wa habari, utayarishaji wa vipindi pamoja na usimamizi wa mitandao ya kijamii umesaidia kufikisha ujumbe unaoelimisha, kuhamasisha na kugusa maisha ya watu moja kwa moja.
Mtayarishaji wa muziki Abbah, ambaye amehusika katika utayarishaji wa wimbo “Finale” uliowakutanisha wasanii Bien na Alikiba, amesema...
Rapa wa Tanzania Webiro Wasira maarufu “Wakazi” amezungumzia taarifa kuhusu uwepo wa hukumu katika kesi ya Clayton...
Msanii wa “kibao Kata”, Bi. Halima Haji, amerejea tena kuomba msamaha kwa Baraza la Sanaa la Taifa...
Jessie Buckley ameshinda tuzo ya Oscar kipengele cha mwigizaji bora wa kike kwa mara ya kwanza siku...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu Rapa Wakazi Kumlipa Mbunge Wa Jimbo la Kigoma Mjini Revocatus Chipando @officialbabalevo ,...
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Methusela Ntonda, amesema kuwa kuongezeka kwa utambuzi wa lugha...
Msanii na mdau mkubwa wa burudani nchini Marekani Sean John Combs aka P. Diddy, amepewa tarehe mpya...
Serikali ya Iran imetangaza kuanza kwa maombolezo ya siku tatu kufuatia kifo cha kiongozi mkuu wa nchi...
Msanii Mac Voice amesema kuwa makazi yake yalikuwa studio na hivyo alitakiwa kumvizia S2kizzy amalize kurekodi ndipo...
