Mtayarishaji wa muziki nchini Tanzania, Mr. T Touch, ameelezea hali ilivyo kwa malipo ya watayarishaji wa muziki...
Joyce Hamka
Mtangazaji wa Redio, mwandishi wa habari, mtayarishaji wa vipindi kupitia Radio Kwizera ya Ngara, Kagera TZ.
Shauku yake ni kusimulia hadithi zenye ukweli, mguso na athari kwa jamii akijikita katika kuibua masuala muhimu kwenye jamii.
Uzoefu wake wa zaidi ya miaka mitano katika utangazaji, uandishi wa habari, utayarishaji wa vipindi pamoja na usimamizi wa mitandao ya kijamii umesaidia kufikisha ujumbe unaoelimisha, kuhamasisha na kugusa maisha ya watu moja kwa moja.
Rapper wa Tanzania anayeishi Munich, Ujerumani, @para_chich ameachia album yake yenye nyimbo 14 iitwayo Sell Out. Para...
Mwanamuziki Fatma Omary Gachi amemuomba radhi msanii mwenzake Yammi, kufuatia jumbe alizopost mitandaoni siku nne zilizopita zikimtuhumu kumchukulia mwanaume wake.Akizungumza...
Jiji la Los Angeles limebadilisha jina la makutano ya mtaa wa Crenshaw Boulevard na Slauson Avenue kwa...
Beef kati ya T.I. na 50 Cent imeingia hatua mpya baada ya mtoto wa T.I., King Harris,...
Muimbaji wa Nigeria, Simi, amelazimika kutoa ufafanuzi baada ya tweets zake za zamani, zilizoandikwa zaidi ya miaka...
Rapa NBA YoungBoy, anayejulikana pia kama YoungBoy Never Broke Again, amefanikiwa kupata mtoto wa kike siku ya...
Msanii mkongwe kutoka Kenya, Nameless, ameonesha heshima na upendo mkubwa kwa msanii wa Tanzania, Marioo, kufuatia kushirikiana...
Msanii wa Bongo Fleva na mmiliki wa lebo ya African Princess Nandy ameonyesha moyo wa Asante Baba...
Staa wa Pop, Britney Spears, anaripotiwa kuuza haki za catalogue yake yote ya muziki katika mkataba unaokadiriwa...
