Joyce Hamka

Mtangazaji wa Redio, mwandishi wa habari, mtayarishaji wa vipindi kupitia Radio Kwizera ya Ngara, Kagera TZ. Shauku yake ni kusimulia hadithi zenye ukweli, mguso na athari kwa jamii akijikita katika kuibua masuala muhimu kwenye jamii. Uzoefu wake wa zaidi ya miaka mitano katika utangazaji, uandishi wa habari, utayarishaji wa vipindi pamoja na usimamizi wa mitandao ya kijamii umesaidia kufikisha ujumbe unaoelimisha, kuhamasisha na kugusa maisha ya watu moja kwa moja.