Serikali kupitia Wizara ya Afya imeendelea kuchukua hatua mbalimbali za kuimarisha upatikanaji wa bidhaa za afya nchini,...
ZAWADI Bashemela
Zawadi Bashemela ni mwandishi wa habari na mtangazaji kwa zaidi ya miaka 20. Kwa kipindi chote hicho ameshiriki kuandaa maudhui ya radio kupitia vipindi na habari ili kuleta mabadiliko katika jamii hasa kwenye nyanja za afya, elimu, siasa, uchumi na utamaduni. Anaamini katika kazi yake jambo kubwa ni kuendelea kuwa nguzo muhimu katika kujenga jamii yenye uelewa, maadili mema, uwajibikaji na kuwa na maendeleo ili kufikia ndoto ya watanzania wengi. "Habari Sahihi Jamii Imara"
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kufanya uchunguzi wa...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Said Mtanda amesisitiza umuhimu wa ushirikiano wa kikanda katika kukabiliana na matishio...
Wizara ya Afya imetoa tahadhari kwa wananchi kufuatia kuongezeka kwa wagonjwa wa mafua makali ya Influenza na...
Naibu Waziri wa Madini Steven Kiruswa ametoa rai kwa wawekezaji katika sekta ya madini kuweka wazi taarifa...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesisitiza maandalizi ya utekelezaji wa mtaala mpya wa elimu utakaotekelezwa kikamilifu kuanzia...
Mkuu wa Wilaya ya Busega, Faidha Salim, amewataka wananchi Wilayani huko kuacha kutegemea iman za kishirikina katika...
Watu wanne wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Musoma, mkoani Mara, kwa tuhuma za kuhusika...
Soko la Hisa la Dar es Salaam ni Mwanachama wa Masoko ya Hisa ya Dunia, Jumuiya ya...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Said Mtanda ameipongeza Halmashauri ya Jiji la Mwanza kwa juhudi zake za...
