Skip to content
May 3, 2026
  • Youtube
  • Instagram
  • Facebook
  • TikTok
  • Twitter
  • SoundClauds
Radio Kwizera FM

Radio Kwizera FM

Jukwaa la matumaini

Your browser does not support live audio playback.
next try in 00:00
Primary Menu
  • HOME
  • KITAIFA
    • HABARI
    • JAMII
    • SIASA
    • BIASHARA NA UCHUMI
    • AFYA NA ELIMU
    • Magazeti
  • KIMATAIFA
    • AFRICA MASHARIKI
  • MIchezo
  • BURUDANI
  • VIDEO
    • HABARI
    • MICHEZO
    • ASUBUHI NJEMA
    • MCHAKATO
    • BURUDANI
    • MSETO LEO
    • ZOTE
  • KUHUSU SISI
    • HISTORIA
    • VIPINDI
    • TIMU YETU
    • PAKUA APP YETU
  • WASILIANA NASI
    • SERA YA FARAGHA
    • MASHARTI YA MATUMIZI
Light/Dark Button
Kiswahili na Muziki wa Singeli kutambuliwa Duniani Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Ndg. Methusela Ntonda akikat
  • Burudani

Kiswahili na Muziki wa Singeli kutambuliwa Duniani

Joyce Hamka March 5, 2026 0
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Methusela Ntonda, amesema kuwa kuongezeka kwa utambuzi wa lugha...
Read More Read more about Kiswahili na Muziki wa Singeli kutambuliwa Duniani
Wananchi wahudumiwe kwenye maeneo yao Naibu waziri Mmuya naibu waziri mmuya
  • Habari
  • Kimataifa

Wananchi wahudumiwe kwenye maeneo yao Naibu waziri Mmuya

Rehema W. Ruhotora March 5, 2026 0
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeanza kuchukua hatua madhubuti kuhakikisha inawafikia wananchi popote walipo...
Read More Read more about Wananchi wahudumiwe kwenye maeneo yao Naibu waziri Mmuya
Loemba amemuomba msamaha Dickson Job images
  • MIchezo

Loemba amemuomba msamaha Dickson Job

AMINA SEMAGOGWA March 5, 2026 0
Kiungo wa klabu ya Simba Jospin Loemba amemuomba msamaha beki wa kati wa klabu ya Yanga Dickson...
Read More Read more about Loemba amemuomba msamaha Dickson Job
Singida Black Stars yamsamehe Aucho FADLU-DAVIDS-AMTAKA-KHALID-AUCHO-RAJA-CASABLACA-Wakati-kikosi-cha-Singida-Black-Stars-kikitaraj.heic-1024x1280
  • MIchezo

Singida Black Stars yamsamehe Aucho

AMINA SEMAGOGWA March 5, 2026 0
Uongozi wa Singida Black Stars umetangaza kumuondolea adhabu ya kusimamishwa kiungo wao Khalid Aucho baada ya kupitia...
Read More Read more about Singida Black Stars yamsamehe Aucho
Diameter Pallet ufunguka kisa cha wimbo wa MOYO MJINGA patooo
  • Burudani
  • Habari

Diameter Pallet ufunguka kisa cha wimbo wa MOYO MJINGA

KANYESHA Faustine KAMPAYANA March 5, 2026 0
Mwanamuziki Kutoka kwenye kiwanda cha muziki Bongo, Diameter pallet amefunguka kuhusu  wazo la wimbo wa Moyo mjinga ...
Read More Read more about Diameter Pallet ufunguka kisa cha wimbo wa MOYO MJINGA
China iko tayari kuwa mpatanishi vita ya Mashariki ya Kati image
  • Kimataifa

China iko tayari kuwa mpatanishi vita ya Mashariki ya Kati

KANYESHA Faustine KAMPAYANA March 5, 2026 0
China imetangaza rasmi utayari wake wa kuwa mpatanishi katika mzozo unaoendelea Mashariki ya Kati kufuatia kuongezeka kwa...
Read More Read more about China iko tayari kuwa mpatanishi vita ya Mashariki ya Kati
Chupa 1,795 za dawa za kulevya za kamatwa Kagera DAWA ZA KULEVYA TWO
  • Jamii
  • Tanzania

Chupa 1,795 za dawa za kulevya za kamatwa Kagera

ABUBAKAR West March 4, 2026 0
Chupa 1,795 za dawa tiba zenye asili ya kulevya zimekamatwa ndani ya basi la abiria linalofanya safari...
Read More Read more about Chupa 1,795 za dawa za kulevya za kamatwa Kagera
MUUGUZI TABORA KUFUKUZWA KAZI AAGIZA DKT. NCHEMBA. WAZIRI NCHEMBA
  • Afya

MUUGUZI TABORA KUFUKUZWA KAZI AAGIZA DKT. NCHEMBA.

Rehema W. Ruhotora March 4, 2026 0
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameagiza mamlaka husika kumfukuza kazi na kumvua hadhi ya utabibu muuguzi mmoja...
Read More Read more about MUUGUZI TABORA KUFUKUZWA KAZI AAGIZA DKT. NCHEMBA.
Serikali yaongeza nguvu kupambana dhidi ya udumavu wa watoto WhatsApp Image 2026-03-04 at 11.03.41
  • Jamii

Serikali yaongeza nguvu kupambana dhidi ya udumavu wa watoto

Marco BP March 4, 2026 0
Na Clement Shawishi- Geita Serikali imeendelea kuongeza juhudi za kupambana na udumavu kwa watoto kwa kuzindua programu...
Read More Read more about Serikali yaongeza nguvu kupambana dhidi ya udumavu wa watoto
TET Yatakiwa kuimarisha ufatiliaji mitaala Mipya Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Wanu Hafadh Ameir amesisitiza kuwa uzalishaji (3)
  • Habari

TET Yatakiwa kuimarisha ufatiliaji mitaala Mipya

Asma Ahmed March 4, 2026 0
Serikali imeiagiza Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) zatakiwa kuimarisha ufuatiliaji na tathmini ya utekelezaji wa mitaala iliyoboreshwa...
Read More Read more about TET Yatakiwa kuimarisha ufatiliaji mitaala Mipya

Posts pagination

Previous 1 … 18 19 20 21 22 23 24 … 29 Next

Kuhusu Sisi

Radio Kwizera

Radio Kwizera ilianzishwa mnamo mwaka 1995 na shirika la huduma kwa wakimbizi la Kijesuiti (Jesuit Refugee Service - JRS) ili kutoa huduma za kijamii, elimu, na habari kwa wakimbizi kutoka Rwanda na Burundi waliokuwa wanaishi katika kambi za wakimbizi mkoani Kagera na Kigoma, Tanzania. Kwa sasa, Radio Kwizera imekua na kupanua huduma zake hadi kufikia mamilioni ya watu katika mikoa ya Kagera, Kigoma, Geita, Mwanza, Shinyanga, Tabora, Singida, na hata maeneo ya nchi jirani za Rwanda, Burundi, na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).

Connect with Us

  • Youtube
  • Instagram
  • Facebook
  • TikTok
  • Twitter
  • SoundClauds

MATANGAZO

Kwizera Logo
Listen to Radio Kwizera FM
RK ADs
Wateja wanakusubiri

ULIZOKOSA

WhatsApp Image 2026-05-01 at 22.19.50
  • Biashara na Uchumi
  • Habari

Kibondo yang’arisha mji kwa taa za barabarani

Marco BP May 2, 2026 0
WhatsApp Image 2026-05-02 at 07.02.23
  • Afya
  • Habari

DC Bukoba ahimiza Vituo vya Afya kuboresha huduma za lishe

Marco BP May 2, 2026 0
WhatsApp Image 2026-05-02 at 12.04.23
  • Habari
  • Usalama

Polisi na Jamii washirikiana kupinga ukatili kupitia michezo

Marco BP May 2, 2026 0
WhatsApp Image 2026-05-01 at 16.52.43
  • Burundi
  • Habari

Serikali yafunga rasmi kambi ya Wakimbizi ya Nduta

Marco BP May 1, 2026 0
  • Youtube
  • Instagram
  • Facebook
  • TikTok
  • Twitter
  • SoundClauds
Copyright © Radio Kwizera | Backend: Mukulu SJ | MoreNews by AF themes.