Skip to content
August 27, 2025
  • Youtube
  • Instagram
  • Facebook
  • TikTok
  • Twitter
  • SoundClauds

Radio Kwizera

Jukwaa la Matumaini

Primary Menu
  • HOME
  • KITAIFA
    • HABARI
    • TANZANIA
    • JAMII
    • SIASA
    • BIASHARA
  • AFRIKA MASHARIKI
  • KIMATAIFA
  • MICHEZO
    • BURUDANI
  • VIDEO
    • MICHEZO
    • RK NEWS
    • MSETO LEO
    • UCHAMBUZI
    • ZOTE
  • KUHUSU SISI
  • WASILIANA NASI
  • VIPINDI VYETU
  • Home
  • Tanzania
  • Sekta ya umeme bado inakabiliwa na changamoto za mabadiliko ya Tabianchi
  • Habari
  • Newsbeat
  • Tanzania
  • Tech

Sekta ya umeme bado inakabiliwa na changamoto za mabadiliko ya Tabianchi

Build Your Website in Minutes with One-Click Import – No Coding Hassle!
Radio Kwizera April 10, 2025
01HZ7RQKR6TYYD39Y8VVF0KP4N

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amesema pamoja na jitihada kubwa zilizofanywa na serikali kuhakikisha upatikanaji wa nishati ya umeme, mafuta, na gesi asilia, sekta ya umeme bado inakabiliwa na changamoto za mabadiliko ya tabianchi na uharibifu wa mazingira.

Dkt. Biteko ametoa kauli hiyo jana jijini Dodoma wakati akizindua taarifa ya maendeleo ya utendaji katika sekta ya nishati kwa mwaka 2023/24.

Amesema kumekuwa na kilio kikubwa ndani ya sekta hiyo kutokana na vyanzo vingi vya maji vinavyotumika kuzalisha umeme kuharibiwa vibaya, hali inayochangia kuendelea kwa changamoto ya upatikanaji wa umeme.

Aidha, amesema upungufu na uchakavu wa miundombinu ya umeme umeendelea kuwa changamoto sugu, na kwamba serikali sasa inafanya marekebisho makubwa ya kimkakati katika miundombinu hiyo.

Continue Reading

Previous: Rais Ruto wa Kenya amesema kuwa mageuzi ya kitaasisi, Umoja wa Afrika yanafungua fursa za biashara Afrika
Next: Vipindi vyetu vyote

Related Stories

TRC
  • Habari

TRC kubadili namna ya kujiendesha na kujisimamia

Radio Kwizera August 27, 2025
DSC_0144
  • Habari

Halmashauri ya Msalala yazindua chanjo ya wanyama wa kufugwa

Joyce Hamka August 25, 2025
IMG-20250825-WA0055
  • Habari

Wanafunzi 800 waondokana na changamoto ya vyoo Biharamulo

Joyce Hamka August 25, 2025

ulizokosa

TLS
  • Jamii
  • Siasa

TLS yakemea viashiria vya mgawanyiko uchaguzi mkuu

Radio Kwizera August 27, 2025
TRC
  • Habari

TRC kubadili namna ya kujiendesha na kujisimamia

Radio Kwizera August 27, 2025
DSC_0144
  • Habari

Halmashauri ya Msalala yazindua chanjo ya wanyama wa kufugwa

Joyce Hamka August 25, 2025
IMG-20250825-WA0074
  • Elimu na Afya

Elimu ya watu wazima ni zana ya maendeleo endelevu

Joyce Hamka August 25, 2025

About Radio kwizera

Radio Kwizera was established in 1995 by the Jesuit Refugee Service (JRS) to provide social services, education, and information to refugees from Rwanda and Burundi who were living in refugee camps in the Kagera and Kigoma regions of Tanzania.

Tags

amani Biashara Biharamulo Business CCM CHADEMA Dawa za kulevya Demokrasia Diplomasia Geita Hukumu Jeshi la polisi Kampeni Kanisa Katoliki Kasulu Katibu mkuu Kigoma kushirikiana makamu wa rais Mgodi miundombinu Muleba Newsbeat Ngara nishati safi Radio Kwizera Rais Samia Sheria TAKUKURU Teknolojia Uchaguzi uchaguzi mkuu Uchumi Uchunguzi Uimarishaji Mipaka Ulinzi Uokoaji Ushirikiano Vijana Waganga wa kienyeji Wakuu wa Idara Waziri Mkuu Wizara ya Afya Wizara ya Ardhi wizara ya mifugo
  • Youtube
  • Instagram
  • Facebook
  • TikTok
  • Twitter
  • SoundClauds
© Radio Kwizera | MoreNews | Backend by John F. Mukulu SJ