Mkuu wa wilaya ya Ngara mkoani Kagera Kanali Mathias Kahabi amewataka wakuu wa idara wote wilayani humo kuwa waaminifu katika...
Wakuu wa Idara
Serikali wilayani Biharamulo mkoani Kagera imewaonya watumishi wa halmashauri hiyo wanaoshindwa kuwajibika katika nafasi zao na kusababisha malalamiko kutoka kwa wananchi....