Aliyekuwa Waziri na Mbunge wa Isimani William Lukuvi, amefariki dunia leo Machi 25, 2026 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma kutokana na shambulio la moyo.
Rais Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pole kwa familia, viongozi na Watanzania wote kufuatia msiba huo.
Marco Pastory (Marco BP) ni mtangazaji wa redio na mhariri wa maudhui, mwenye uzoefu katika uandishi wa habari kwa zaidi ya miaka mitano, usimamizi wa mitandao ya kijamii na utayarishaji wa vipindi vya kijamii. Anaamini nguvu ya mawasiliano katika kuelimisha, kuhamasisha na kubadilisha jamii kupitia redio na majukwaa ya kidijitali.