Skip to content
August 27, 2025
  • Youtube
  • Instagram
  • Facebook
  • TikTok
  • Twitter
  • SoundClauds

Radio Kwizera

Jukwaa la Matumaini

Primary Menu
  • HOME
  • KITAIFA
    • HABARI
    • TANZANIA
    • JAMII
    • SIASA
    • BIASHARA
  • AFRIKA MASHARIKI
  • KIMATAIFA
  • MICHEZO
    • BURUDANI
  • VIDEO
    • MICHEZO
    • RK NEWS
    • MSETO LEO
    • UCHAMBUZI
    • ZOTE
  • KUHUSU SISI
  • WASILIANA NASI
  • VIPINDI VYETU
  • Home
  • Kimataifa
  • 23 wameuwawa baada ya Ndege za kijeshi za Israeli kushambulia jengo la makaazi ya watu kaskazini mwa Gaza
  • Kimataifa
  • Majanga
  • Newsbeat
  • Siasa

23 wameuwawa baada ya Ndege za kijeshi za Israeli kushambulia jengo la makaazi ya watu kaskazini mwa Gaza

Build Your Website in Minutes with One-Click Import – No Coding Hassle!
Radio Kwizera April 10, 2025
e0509d22-873c-41cd-a291-05b65edc53f1_w1080_h608_b

Takriban watu 23 wameuwawa baada ya Ndege za kijeshi za Israeli kushambulia jengo la makaazi ya watu katika eneo la kaskazini mwa Gaza.

Vifo hivyo vimeripotiwa wakati mapigano yaliyoanza upya hivi karibuni katika ukanda huo yakionyesha dalili ya kutopungua.

Wizara ya afya inayosimamiwa na kundi la Hamas imethibitisha vifo hivyo na hospitali ya Al-Ahly imeeleza kuwa miongoni mwa watu hao waliouwawa kuna wanawake wanane na watoto wanane

Kwa mujibu wa huduma ya dharura ya wizara hiyo ya afya, shambulio la Israel limelenga jengo la ghorofa nne katika eneo la Shijaiyah, mjini Gaza huku vikosi vya uokoaji vikiripotiwa kuendelea kutafuta manusura chini ya kifusi.

Continue Reading

Previous: WHO: Viwango vya vifo wajawazito, watoto wachanga Afrika vimepungua tangu mwaka 2000
Next: Sekta ya umeme bado inakabiliwa na changamoto za mabadiliko ya Tabianchi

Related Stories

TLS
  • Jamii
  • Siasa

TLS yakemea viashiria vya mgawanyiko uchaguzi mkuu

Radio Kwizera August 27, 2025
muliro
  • Siasa

Uchaguzi mkuu utafanyika kwa amani na haki

Radio Kwizera August 20, 2025
mutungi
  • Siasa

Mutungi: Viongozi vyama vya siasa fanyeni kampeni kistaarabu.

Radio Kwizera August 18, 2025

Connect with Us

  • Youtube
  • Instagram
  • Facebook
  • TikTok
  • Twitter
  • SoundClauds

Trending News

TLS yakemea viashiria vya mgawanyiko uchaguzi mkuu TLS 1

TLS yakemea viashiria vya mgawanyiko uchaguzi mkuu

August 27, 2025
TRC kubadili namna ya kujiendesha na kujisimamia TRC 2

TRC kubadili namna ya kujiendesha na kujisimamia

August 27, 2025
Halmashauri ya Msalala yazindua chanjo ya wanyama wa kufugwa DSC_0144 3

Halmashauri ya Msalala yazindua chanjo ya wanyama wa kufugwa

August 25, 2025
Elimu ya watu wazima ni zana ya maendeleo endelevu IMG-20250825-WA0074 4

Elimu ya watu wazima ni zana ya maendeleo endelevu

August 25, 2025
Wanafunzi 800 waondokana na changamoto ya vyoo Biharamulo IMG-20250825-WA0055 5

Wanafunzi 800 waondokana na changamoto ya vyoo Biharamulo

August 25, 2025

ulizokosa

TLS
  • Jamii
  • Siasa

TLS yakemea viashiria vya mgawanyiko uchaguzi mkuu

Radio Kwizera August 27, 2025
TRC
  • Habari

TRC kubadili namna ya kujiendesha na kujisimamia

Radio Kwizera August 27, 2025
DSC_0144
  • Habari

Halmashauri ya Msalala yazindua chanjo ya wanyama wa kufugwa

Joyce Hamka August 25, 2025
IMG-20250825-WA0074
  • Elimu na Afya

Elimu ya watu wazima ni zana ya maendeleo endelevu

Joyce Hamka August 25, 2025

About Radio kwizera

Radio Kwizera was established in 1995 by the Jesuit Refugee Service (JRS) to provide social services, education, and information to refugees from Rwanda and Burundi who were living in refugee camps in the Kagera and Kigoma regions of Tanzania.

Tags

amani Biashara Biharamulo Business CCM CHADEMA Dawa za kulevya Demokrasia Diplomasia Geita Hukumu Jeshi la polisi Kampeni Kanisa Katoliki Kasulu Katibu mkuu Kigoma kushirikiana makamu wa rais Mgodi miundombinu Muleba Newsbeat Ngara nishati safi Radio Kwizera Rais Samia Sheria TAKUKURU Teknolojia Uchaguzi uchaguzi mkuu Uchumi Uchunguzi Uimarishaji Mipaka Ulinzi Uokoaji Ushirikiano Vijana Waganga wa kienyeji Wakuu wa Idara Waziri Mkuu Wizara ya Afya Wizara ya Ardhi wizara ya mifugo
  • Youtube
  • Instagram
  • Facebook
  • TikTok
  • Twitter
  • SoundClauds
© Radio Kwizera | MoreNews | Backend by John F. Mukulu SJ