Misa Takatifu ya Alhamisi Kuu imefanyika leo katika Parokia ya Mt. Fransisco wa Asizi Ngara mjini, Jimbo Katoliki la Rulenge- Ngara ikiongozwa na Baba Askofu wa Jimbo hilo Severine Niwemugizi.
Picha na Marco Pastory

Editor
Marco Pastory (Marco BP) ni mtangazaji wa redio na mhariri wa maudhui, mwenye uzoefu katika uandishi wa habari kwa zaidi ya miaka mitano, usimamizi wa mitandao ya kijamii na utayarishaji wa vipindi vya kijamii. Anaamini nguvu ya mawasiliano katika kuelimisha, kuhamasisha na kubadilisha jamii kupitia redio na majukwaa ya kidijitali.