Mwanamuziki Kutoka kwenye kiwanda cha muziki Bongo, Diameter pallet amefunguka kuhusu wazo la wimbo wa Moyo mjinga unaotamba hivi na kuwa miongoni mwa nyimbo zinazofanya vizuri kwa sasa Tanzania
Diameter ambaye pia ni hit maker wa ngoma ya Kidampa amezungumza kupitia show ya Connector ya Radio Kwizera fm , Diameter Pallet amesema wazo la wimbo lilitokana na story ya baba mmoja aliyemkuta kwenye Hotel moja akionekana mtu mwenye mawazo , baada ya mzee huyo kupigiwa simu aliianza kulalamika na ilionekana ni mgogoro wa kimapenzi na hapo ndipo alipopata wazo la kuandika wimbo wa moyo mjinga
usikose kusikiliza show ya CONNECTOR kupitia Radio Kwizera fm jumatatu -ijumaa 14:00-16:00

Bofya hapo chini kusikiliza zaidi
