Skip to content
July 30, 2025
  • Youtube
  • Instagram
  • Facebook
  • TikTok
  • Twitter
  • SoundClauds

Radio Kwizera

Jukwaa la Matumaini

Primary Menu
  • HOME
  • KITAIFA
    • HABARI
    • TANZANIA
    • JAMII
    • SIASA
    • BIASHARA
  • AFRIKA MASHARIKI
  • KIMATAIFA
  • MICHEZO
    • BURUDANI
  • VIDEO
    • MICHEZO
    • RK NEWS
    • MSETO LEO
    • UCHAMBUZI
    • ZOTE
  • KUHUSU SISI
  • WASILIANA NASI
  • VIPINDI VYETU
  • Home
  • Tanzania
  • Wananchi Halmashauri ya mji wa Tarime wanadaiwa kuendelea kukaidi maagizo kutofanya shughuli katika vyanzo maji
  • Afrika Mashariki
  • Biashara na Uchumi
  • Habari
  • Majanga
  • Newsbeat
  • Tanzania

Wananchi Halmashauri ya mji wa Tarime wanadaiwa kuendelea kukaidi maagizo kutofanya shughuli katika vyanzo maji

Build Your Website in Minutes with One-Click Import – No Coding Hassle!
RADIO KWIZERA April 10, 2025
Mto Mara

Baadhi ya wananchi katika Halmashauri ya Mji Tarime wilayani Tarime mkoani Mara wanadaiwa kuendelea kukaidi maagizo ya kutofanya shughuli mbalimbali karibu na vyanzo maji.

Akizungumza na waandishi wa habari jana, ofisini kwake Afisa Mazingira wa halmashauri hiyo Patrice Boniphace, amesema kuwa pamoja na juhudi zilizofanyika, bado baadhi ya watu wanaosha magari, kulima, kuchimba mchanga, kuchenjua dhahabu na hata kujenga karibu na vyanzo vya maji.

Afisa huyo amefafanua kuwa shughuli mbalimbali karibu na vyanzo vya maji huruhusiwa kwa kuzingatia vipimo vya mto au kijito.

Ametolea mfano, kwa mto mkubwa kama Mori, shughuli zinatakiwa kufanyika umbali wa mita 60 kutoka mtoni, wakati kwa mito midogo na vijito ni umbali wa mita 30.

Continue Reading

Previous: WHO: Viwango vya vifo wajawazito, watoto wachanga Afrika vimepungua tangu mwaka 2000
Next: Sekta ya umeme bado inakabiliwa na changamoto za mabadiliko ya Tabianchi

Related Stories

mkurugenzi 2
  • Habari

Wananchi watakiwa kujitokeza kupokea Mwenge Kahama 2025

RADIO KWIZERA July 29, 2025
SAMIA 2
  • Habari

Rais Samia ashiriki maadhimisho ya kumbukumbu ya Mashujaa

RADIO KWIZERA July 25, 2025
LEA 1
  • Habari

NACOPHA wapongeza kufufuliwa Viwanda vya ARV

RADIO KWIZERA July 25, 2025

Connect with Us

  • Youtube
  • Instagram
  • Facebook
  • TikTok
  • Twitter
  • SoundClauds

Trending News

Wananchi watakiwa kujitokeza kupokea Mwenge Kahama 2025 mkurugenzi 2 1

Wananchi watakiwa kujitokeza kupokea Mwenge Kahama 2025

July 29, 2025
Waandishi wa habari Ngara wahimizwa kuzuia rushwa IMG-20250725-WA0009 2

Waandishi wa habari Ngara wahimizwa kuzuia rushwa

July 25, 2025
Rais Samia ashiriki maadhimisho ya kumbukumbu ya Mashujaa SAMIA 2 3

Rais Samia ashiriki maadhimisho ya kumbukumbu ya Mashujaa

July 25, 2025
NACOPHA wapongeza kufufuliwa Viwanda vya ARV LEA 1 4

NACOPHA wapongeza kufufuliwa Viwanda vya ARV

July 25, 2025
Polisi: Taarifa mabaki ya viungo vya binadamu kuonekana ipuuzwe muliro2 5

Polisi: Taarifa mabaki ya viungo vya binadamu kuonekana ipuuzwe

July 24, 2025

ulizokosa

mkurugenzi 2
  • Habari

Wananchi watakiwa kujitokeza kupokea Mwenge Kahama 2025

RADIO KWIZERA July 29, 2025
IMG-20250725-WA0009
  • Rushwa

Waandishi wa habari Ngara wahimizwa kuzuia rushwa

RADIO KWIZERA July 25, 2025
SAMIA 2
  • Habari

Rais Samia ashiriki maadhimisho ya kumbukumbu ya Mashujaa

RADIO KWIZERA July 25, 2025
LEA 1
  • Habari

NACOPHA wapongeza kufufuliwa Viwanda vya ARV

RADIO KWIZERA July 25, 2025

About Radio kwizera

Radio Kwizera was established in 1995 by the Jesuit Refugee Service (JRS) to provide social services, education, and information to refugees from Rwanda and Burundi who were living in refugee camps in the Kagera and Kigoma regions of Tanzania.

Tags

amani Biashara Biharamulo Business CCM CHADEMA Dawa za kulevya Diplomasia Fursa Geita Hukumu Jeshi la polisi Jeshi la polisi Geita Kanisa Katoliki Kasulu Katibu mkuu Kigoma kushirikiana makamu wa rais mali ya wizi Mazingira Mgodi Michezo Muleba Mwanza Newsbeat Ngara NIDA nishati safi Papa Leo XIV Radio Kwizera Raia wa kigeni TAKUKURU uchaguzi mkuu Uchumi Uimarishaji Mipaka Ulinzi Viwanda Waganga wa kienyeji Watia nia Waziri Mkuu wilaya ya kakonko Wizara ya Afya Wizara ya Ardhi World
  • Youtube
  • Instagram
  • Facebook
  • TikTok
  • Twitter
  • SoundClauds
© Radio Kwizera | MoreNews | Backend by John F. Mukulu SJ