Skip to content
July 4, 2025
  • Youtube
  • Instagram
  • Facebook
  • TikTok
  • Twitter
  • SoundClauds

Radio Kwizera

Jukwaa la Matumaini

Primary Menu
  • HOME
  • KITAIFA
    • HABARI
    • TANZANIA
    • JAMII
    • SIASA
    • BIASHARA
  • AFRIKA MASHARIKI
  • KIMATAIFA
  • MICHEZO
    • BURUDANI
  • VIDEO
    • MICHEZO
    • RK NEWS
    • MSETO LEO
    • UCHAMBUZI
    • ZOTE
  • KUHUSU SISI
  • WASILIANA NASI
  • VIPINDI VYETU
  • Home
  • Tanzania
  • Serikali imefanya ukarabati wa barabara na kujenga madaraja zaidi ya sita mkoani Mwanza
  • Afrika Mashariki
  • Biashara na Uchumi
  • Habari
  • Newsbeat
  • Tanzania
  • Tech

Serikali imefanya ukarabati wa barabara na kujenga madaraja zaidi ya sita mkoani Mwanza

Build Your Website in Minutes with One-Click Import – No Coding Hassle!
RADIO KWIZERA April 10, 2025
IMG-20240703-WA0193

Serikali imefanya ukarabati wa barabara na kujenga madaraja zaidi ya sita mkoani Mwanza yaliyokuwa yameathiriwa kutokana na mvua za El Ninno zilizonyesha mwaka jana hapa nchini.

Meneja wa wakala wa barabara nchini TANROADS mkoa wa Mwanza Bw. Ambrose Paschal ameambia Radio Kwizera kuwa kazi ya ukarabati na ujenzi wa madaraja hayo ilianza mwezi Novemba mwaka jana na inatarajiwa kukamilika Mwezi Novemba mwaka huu.

Awali wizara ya ujenzi ilieleza kuwa tathimini ya mwezi April mwaka jana ilionyesha kuwa mvua iliyonyesha ilisababisha uharibifu wa miundombinu ya madaraja na barabara na kuwa jumla ya bilioni 986 zilikuwa zikihitajika kurejesha miundombinu hiyo katika hali yake.

Continue Reading

Previous: WHO: Viwango vya vifo wajawazito, watoto wachanga Afrika vimepungua tangu mwaka 2000
Next: Sekta ya umeme bado inakabiliwa na changamoto za mabadiliko ya Tabianchi

Related Stories

Ajali same
  • Habari

Serikali imetoa Sh.milioni 126 kwaajili ya maziko ajali ya Same

RADIO KWIZERA July 3, 2025
khatibu
  • Habari

Tume ya Haki za Binadamu waangalizi wa uchaguzi mkuu

RADIO KWIZERA July 3, 2025
Gerison msigwa
  • Habari

Serikali ya kanusha njama ya kumwekea sumu Tundu Lissu,

RADIO KWIZERA July 3, 2025

ulizokosa

Ajali same
  • Habari

Serikali imetoa Sh.milioni 126 kwaajili ya maziko ajali ya Same

RADIO KWIZERA July 3, 2025
khatibu
  • Habari

Tume ya Haki za Binadamu waangalizi wa uchaguzi mkuu

RADIO KWIZERA July 3, 2025
Gerison msigwa
  • Habari

Serikali ya kanusha njama ya kumwekea sumu Tundu Lissu,

RADIO KWIZERA July 3, 2025
Dkt. Philip Mpango
  • Kimataifa

Tanzania na Vietnam kudumisha uwekezaji biashara, kilimo,ulinzi

RADIO KWIZERA July 2, 2025

About Radio kwizera

Radio Kwizera was established in 1995 by the Jesuit Refugee Service (JRS) to provide social services, education, and information to refugees from Rwanda and Burundi who were living in refugee camps in the Kagera and Kigoma regions of Tanzania.

Tags

Afya amani Biashara Business CCM Geita Hukumu Jeshi la polisi Jeshi la polisi Geita Jeshi la polisi kasulu Kakonko DC Katibu mkuu Katibu tawala Kigoma Kero wananchi Kigoma Kujiunga na mfumo kushirikiana kuwatunza wazee makamu wa rais mali ya wizi Masko ya usiku Mgodi Michezo Muleba Newsbeat NIDA Papa Leo XIV Radio Kwizera Rais Samia Shule ya amali uchaguzi mkuu Uimarishaji Mipaka ujenzi simiyu Ukatili Ulinzi Uzinduzi WAFUGAJI watu wanne wameuwawa wazee Wazee geita Waziri Mkuu wilaya ya kakonko Wizara ya Afya Wizara ya Ardhi World
  • Youtube
  • Instagram
  • Facebook
  • TikTok
  • Twitter
  • SoundClauds
© Radio Kwizera | MoreNews | Backend by John F. Mukulu SJ