Skip to content
July 3, 2025
  • Youtube
  • Instagram
  • Facebook
  • TikTok
  • Twitter
  • SoundClauds

Radio Kwizera

Jukwaa la Matumaini

Primary Menu
  • HOME
  • KITAIFA
    • HABARI
    • TANZANIA
    • JAMII
    • SIASA
    • BIASHARA
  • AFRIKA MASHARIKI
  • KIMATAIFA
  • MICHEZO
    • BURUDANI
  • VIDEO
    • MICHEZO
    • RK NEWS
    • MSETO LEO
    • UCHAMBUZI
    • ZOTE
  • KUHUSU SISI
  • WASILIANA NASI
  • VIPINDI VYETU
  • Home
  • Kimataifa
  • 23 wameuwawa baada ya Ndege za kijeshi za Israeli kushambulia jengo la makaazi ya watu kaskazini mwa Gaza
  • Kimataifa
  • Majanga
  • Newsbeat
  • Siasa

23 wameuwawa baada ya Ndege za kijeshi za Israeli kushambulia jengo la makaazi ya watu kaskazini mwa Gaza

Build Your Website in Minutes with One-Click Import – No Coding Hassle!
RADIO KWIZERA April 10, 2025
e0509d22-873c-41cd-a291-05b65edc53f1_w1080_h608_b

Takriban watu 23 wameuwawa baada ya Ndege za kijeshi za Israeli kushambulia jengo la makaazi ya watu katika eneo la kaskazini mwa Gaza.

Vifo hivyo vimeripotiwa wakati mapigano yaliyoanza upya hivi karibuni katika ukanda huo yakionyesha dalili ya kutopungua.

Wizara ya afya inayosimamiwa na kundi la Hamas imethibitisha vifo hivyo na hospitali ya Al-Ahly imeeleza kuwa miongoni mwa watu hao waliouwawa kuna wanawake wanane na watoto wanane

Kwa mujibu wa huduma ya dharura ya wizara hiyo ya afya, shambulio la Israel limelenga jengo la ghorofa nne katika eneo la Shijaiyah, mjini Gaza huku vikosi vya uokoaji vikiripotiwa kuendelea kutafuta manusura chini ya kifusi.

Continue Reading

Previous: WHO: Viwango vya vifo wajawazito, watoto wachanga Afrika vimepungua tangu mwaka 2000
Next: Sekta ya umeme bado inakabiliwa na changamoto za mabadiliko ya Tabianchi

Related Stories

Dkt. Philip Mpango
  • Kimataifa

Tanzania na Vietnam kudumisha uwekezaji biashara, kilimo,ulinzi

RADIO KWIZERA July 2, 2025
UWT
  • Siasa

Wanawake Mkoani Geita jitokezeni kugombea uongozi

RADIO KWIZERA June 20, 2025
WASIRA
  • Siasa

Wasira atuma ujumbe kwa wagombea, “ukizidi tunakukata”

RADIO KWIZERA June 19, 2025

Connect with Us

  • Youtube
  • Instagram
  • Facebook
  • TikTok
  • Twitter
  • SoundClauds

Trending News

Tanzania na Vietnam kudumisha uwekezaji biashara, kilimo,ulinzi Dkt. Philip Mpango 1

Tanzania na Vietnam kudumisha uwekezaji biashara, kilimo,ulinzi

July 2, 2025
Dkt.Biteko: Tanzania kuzalisha umeme utokanao na nyuklia DKT BITEKO 2

Dkt.Biteko: Tanzania kuzalisha umeme utokanao na nyuklia

July 1, 2025
Rais wa ZanzibarDkt.Mwinyi aipongeza Yanga WhatsApp Image 2025-06-30 at 11.45.08 AM 3

Rais wa ZanzibarDkt.Mwinyi aipongeza Yanga

June 30, 2025
Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa amkumbuka hayati John Magufuli WhatsApp Image 2025-06-26 at 2.46.57 PM 4

Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa amkumbuka hayati John Magufuli

June 26, 2025
Kesi za Uchaguzi kutolewa hukumu leo mahakama 5

Kesi za Uchaguzi kutolewa hukumu leo

June 26, 2025

ulizokosa

Dkt. Philip Mpango
  • Kimataifa

Tanzania na Vietnam kudumisha uwekezaji biashara, kilimo,ulinzi

RADIO KWIZERA July 2, 2025
DKT BITEKO
  • Biashara na Uchumi

Dkt.Biteko: Tanzania kuzalisha umeme utokanao na nyuklia

RADIO KWIZERA July 1, 2025
WhatsApp Image 2025-06-30 at 11.45.08 AM
  • Michezo

Rais wa ZanzibarDkt.Mwinyi aipongeza Yanga

RADIO KWIZERA June 30, 2025
WhatsApp Image 2025-06-26 at 2.46.57 PM
  • Habari

Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa amkumbuka hayati John Magufuli

RADIO KWIZERA June 26, 2025

About Radio kwizera

Radio Kwizera was established in 1995 by the Jesuit Refugee Service (JRS) to provide social services, education, and information to refugees from Rwanda and Burundi who were living in refugee camps in the Kagera and Kigoma regions of Tanzania.

Tags

Afya amani Biashara Business CCM Geita Hukumu Jeshi la polisi Jeshi la polisi Geita Kakonko DC Katibu mkuu katibu tawala Katibu tawala Kigoma Kero wananchi Kigoma Kujiajili kushirikiana makamu wa rais mali ya wizi Masko ya usiku Matambiko Mgodi Michezo Muleba Newsbeat NIDA Papa Leo XIV Radio Kwizera Rais Samia Rc mtanda RC Mwassa Shule ya amali Uimarishaji Mipaka Ulinzi upungufu wa maziwa Uzinduzi Uzinduzi ujenzi Wanafunzi Wasafirishaji Wazee geita Waziri Mkuu wilaya ya kakonko Wizara ya Afya Wizara ya Ardhi World
  • Youtube
  • Instagram
  • Facebook
  • TikTok
  • Twitter
  • SoundClauds
© Radio Kwizera | MoreNews | Backend by John F. Mukulu SJ