Skip to content
November 14, 2025
  • Youtube
  • Instagram
  • Facebook
  • TikTok
  • Twitter
  • SoundClauds

Radio Kwizera

Jukwaa la Matumaini

Primary Menu
  • HOME
  • KITAIFA
    • HABARI
    • TANZANIA
    • JAMII
    • SIASA
    • BIASHARA
    • Elimu na Afya
  • AFRIKA MASHARIKI
  • KIMATAIFA
  • MICHEZO
    • BURUDANI
  • VIDEO
    • MICHEZO
    • RK NEWS
    • MSETO LEO
    • UCHAMBUZI
    • ZOTE
  • KUHUSU SISI
  • WASILIANA NASI
  • VIPINDI VYETU
  • Home
  • Tanzania
  • Serikali imefanya ukarabati wa barabara na kujenga madaraja zaidi ya sita mkoani Mwanza
  • Afrika Mashariki
  • Biashara na Uchumi
  • Habari
  • Newsbeat
  • Tanzania
  • Tech

Serikali imefanya ukarabati wa barabara na kujenga madaraja zaidi ya sita mkoani Mwanza

Build Your Website in Minutes with One-Click Import – No Coding Hassle!
Radio Kwizera April 10, 2025
IMG-20240703-WA0193

Serikali imefanya ukarabati wa barabara na kujenga madaraja zaidi ya sita mkoani Mwanza yaliyokuwa yameathiriwa kutokana na mvua za El Ninno zilizonyesha mwaka jana hapa nchini.

Meneja wa wakala wa barabara nchini TANROADS mkoa wa Mwanza Bw. Ambrose Paschal ameambia Radio Kwizera kuwa kazi ya ukarabati na ujenzi wa madaraja hayo ilianza mwezi Novemba mwaka jana na inatarajiwa kukamilika Mwezi Novemba mwaka huu.

Awali wizara ya ujenzi ilieleza kuwa tathimini ya mwezi April mwaka jana ilionyesha kuwa mvua iliyonyesha ilisababisha uharibifu wa miundombinu ya madaraja na barabara na kuwa jumla ya bilioni 986 zilikuwa zikihitajika kurejesha miundombinu hiyo katika hali yake.

Continue Reading

Previous: WHO: Viwango vya vifo wajawazito, watoto wachanga Afrika vimepungua tangu mwaka 2000
Next: Sekta ya umeme bado inakabiliwa na changamoto za mabadiliko ya Tabianchi

Related Stories

SILLO
  • Jamii
  • Siasa
  • Tanzania

Daniel Sillo, Naibu Spika Mpya wa Bunge la 13

Radio Kwizera November 13, 2025
Misimeeee
  • Afrika Mashariki
  • Habari
  • Jamii
  • Tanzania

Akamatwa kwa tuhuma za kuhamasisha Uhalifu Mtandaoni

Radio Kwizera November 13, 2025
Mwigulu
  • Afrika Mashariki
  • Habari
  • Siasa
  • Tanzania

Mfahamu Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba

Radio Kwizera November 13, 2025

ulizokosa

Eddy
  • Burudani

Eddy Kenzo akataa ofa ya Warner Music

Radio Kwizera November 14, 2025
kimmm
  • Burudani

Uchumi wa Kardashian wafikia dola bilioni 1.9

Radio Kwizera November 13, 2025
SILLO
  • Jamii
  • Siasa
  • Tanzania

Daniel Sillo, Naibu Spika Mpya wa Bunge la 13

Radio Kwizera November 13, 2025
jux
  • Burudani

Jux kufanya Show binafsi nchini Nigeria

Radio Kwizera November 13, 2025

About Radio kwizera

Radio Kwizera was established in 1995 by the Jesuit Refugee Service (JRS) to provide social services, education, and information to refugees from Rwanda and Burundi who were living in refugee camps in the Kagera and Kigoma regions of Tanzania.

Tags

amani Biashara Biharamulo Bongo Fleva Cardi B CCM CHADEMA Demokrasia Elimu Fursa Geita Grammy Hukumu INEC Jeshi la polisi Kahama Kampeni Kanisa Katoliki Kigoma Mafunzo Mgodi Mpina Muleba muziki Mwanza Newsbeat Ngara Polisi Radio Kwizera Rais Samia Rapa Recording Academy Rushwa Samia TAKUKURU Tanzania TRA Uchaguzi Uchumi Ulinzi Ushirikiano Uteuzi Watanzania Waziri Mkuu Wizara ya Afya
  • Youtube
  • Instagram
  • Facebook
  • TikTok
  • Twitter
  • SoundClauds
© Radio Kwizera | MoreNews | Backend by John F. Mukulu SJ