Skip to content
December 14, 2025
  • Youtube
  • Instagram
  • Facebook
  • TikTok
  • Twitter
  • SoundClauds

Radio Kwizera

Jukwaa la Matumaini

Primary Menu
  • HOME
  • KITAIFA
    • HABARI
    • TANZANIA
    • JAMII
    • SIASA
    • BIASHARA
    • Elimu na Afya
  • AFRIKA MASHARIKI
  • KIMATAIFA
  • MICHEZO
    • BURUDANI
  • VIDEO
    • MICHEZO
    • RK NEWS
    • MSETO LEO
    • UCHAMBUZI
    • ZOTE
  • KUHUSU SISI
  • WASILIANA NASI
  • VIPINDI VYETU
  • Home
  • Afrika Mashariki
  • Rais Ruto wa Kenya amesema kuwa mageuzi ya kitaasisi, Umoja wa Afrika yanafungua fursa za biashara Afrika
  • Afrika Mashariki
  • Biashara na Uchumi
  • Habari
  • Kimataifa
  • Newsbeat
  • Stories

Rais Ruto wa Kenya amesema kuwa mageuzi ya kitaasisi, Umoja wa Afrika yanafungua fursa za biashara Afrika

Build Your Website in Minutes with One-Click Import – No Coding Hassle!
Radio Kwizera April 10, 2025
Ruto-2

Rais wa Kenya William Ruto amesema kuwa mageuzi makubwa ya kitaasisi yaliyofanywa na Umoja wa Afrika yanafungua fursa za biashara katika bara la Afrika, yakiashiria enzi mpya ya muunganiko wa kiuchumi.

Rais Ruto amesema hayo jana alipohutubia ufunguzi wa mkutano wa kilele wa Afrika wa Shirikisho la Wafanyabiashara Duniani uliofanyika jijini Nairobi.

Amesema kuunda upya mashirika mengi muhimu yakiwemo Benki ya Maendeleo ya Afrika, Benki ya Uuzaji na Uagizaji Bidhaa ya Afrika, Taasisi ya Mendeleo ya Umoja wa Afrika pamoja na taasisi nyingi za kiuchumi za kikanda, kunaleta matumaini kwa Afrika, na kuweka msingi wa ustawi unaohimizwa na uwekezaji, ukuaji wa viwanda,  utengenezaji bidhaa kwa ajili ya masoko ya kimataifa, na biashara.

Amesema matokeo ya mageuzi hayo ni kuwa kampuni za utengenezaji na kampuni changa za teknolojia za Kenya zinaenea barani kote, na kuonyesha imani kubwa kwamba mustakbali wa kiuchumi wa Afrika uko katika biashara na ushirikiano kati ya nchi za bara hilo.

Continue Reading

Previous: Serikali imefanya ukarabati wa barabara na kujenga madaraja zaidi ya sita mkoani Mwanza
Next: Sekta ya umeme bado inakabiliwa na changamoto za mabadiliko ya Tabianchi

Related Stories

MITEGO YA SENENE
  • Afrika Mashariki
  • Biashara na Uchumi
  • Jamii
  • Tanzania

Zimamoto Muleba:Watega senene chukueni tahadhari.

Radio Kwizera December 12, 2025
NDAYISHIMIYE
  • Africa
  • Afrika Mashariki
  • Habari
  • Jamii

Rais Ndayishimiye: Vijana wa Afrika fanyeni miradi ya amendeleo.

Radio Kwizera December 12, 2025
ULEGA MWANZA
  • Habari
  • Jamii
  • Tanzania

Ulega: Daraja la Mkuyuni Mwanza likamilike Januari 15, 2026.

Radio Kwizera December 12, 2025

Connect with Us

  • Youtube
  • Instagram
  • Facebook
  • TikTok
  • Twitter
  • SoundClauds

Trending News

Zimamoto Muleba:Watega senene chukueni tahadhari. MITEGO YA SENENE 1

Zimamoto Muleba:Watega senene chukueni tahadhari.

December 12, 2025
Rais Ndayishimiye: Vijana wa Afrika fanyeni miradi ya amendeleo. NDAYISHIMIYE 2

Rais Ndayishimiye: Vijana wa Afrika fanyeni miradi ya amendeleo.

December 12, 2025
Ulega: Daraja la Mkuyuni Mwanza likamilike Januari 15, 2026. ULEGA MWANZA 3

Ulega: Daraja la Mkuyuni Mwanza likamilike Januari 15, 2026.

December 12, 2025
Waziri wa zamani wa Afya, Jenista Mhagama, amefariki dunia leo. MHAGAMA 4

Waziri wa zamani wa Afya, Jenista Mhagama, amefariki dunia leo.

December 11, 2025
Waasi wa M23 waingia Uvira DRC, Maelfu wakimbilia Burundi. Wakimbizi DRC 5

Waasi wa M23 waingia Uvira DRC, Maelfu wakimbilia Burundi.

December 10, 2025

ulizokosa

MITEGO YA SENENE
  • Afrika Mashariki
  • Biashara na Uchumi
  • Jamii
  • Tanzania

Zimamoto Muleba:Watega senene chukueni tahadhari.

Radio Kwizera December 12, 2025
NDAYISHIMIYE
  • Africa
  • Afrika Mashariki
  • Habari
  • Jamii

Rais Ndayishimiye: Vijana wa Afrika fanyeni miradi ya amendeleo.

Radio Kwizera December 12, 2025
ULEGA MWANZA
  • Habari
  • Jamii
  • Tanzania

Ulega: Daraja la Mkuyuni Mwanza likamilike Januari 15, 2026.

Radio Kwizera December 12, 2025
MHAGAMA
  • Jamii
  • Tanzania

Waziri wa zamani wa Afya, Jenista Mhagama, amefariki dunia leo.

Radio Kwizera December 11, 2025

About Radio kwizera

Radio Kwizera was established in 1995 by the Jesuit Refugee Service (JRS) to provide social services, education, and information to refugees from Rwanda and Burundi who were living in refugee camps in the Kagera and Kigoma regions of Tanzania.

Tags

amani Biashara Biharamulo Bongo Fleva CCM CHADEMA Elimu Familia Fursa Geita Grammy Hukumu INEC Jeshi la polisi Kahama Kampeni Kanisa Kanisa Katoliki Kigoma Mafunzo Mgodi Miradi ya maendeleo Muleba muziki Mwanza Newsbeat Ngara Nigeria Polisi Radio Kwizera Rushwa Samia Serikali TAKUKURU Tanzania Uchaguzi uchaguzi mkuu Uchumi Ulinzi Ushirikiano Vijana Vurugu Watanzania Waziri Mkuu Wizara ya Afya
  • Youtube
  • Instagram
  • Facebook
  • TikTok
  • Twitter
  • SoundClauds
© Radio Kwizera | MoreNews | Backend by John F. Mukulu SJ