Wakristo wamehimizwa kuendelea kumsikiliza Mungu, kutokata tamaa wanapokutana na changamoto mbalimbali za maisha na kuendelea kuishuhudia Injili...
Padre Ademba
Waumini wa Kanisa Katoliki duniani kote leo wanaadhimisha Jumapili ya Ekaristi Takatifu, siku maalum inayowakumbusha nafasi ya...
