Jarida la France Football limetangaza orodha ya wachezaji 30 wanaowania tuzo ya Ballon dβOr kwa mwaka 2026, huku majina ya Lionel Messi, Kylian MbappΓ©, na Harry Kane yakizidi joto la ushindani.
Messi anaendelea kuandika historia kwa kuwemo kwenye kinyang’anyiro hicho kutokana na makali yake, wakati MbappΓ© anatajwa kuwa miongoni mwa washindani msimu huu.
Kwa upande wa Harry Kane, muendelezo wake wa kutupia mabao akiwa na Bayern Munich unamfanya kuingia kwenye orodha hiyo akiwa na matumaini makubwa ya kutwaa tuzo hiyo ya heshima ulimwenguni.
Sherehe za utoaji wa tuzo hizo zinatarajiwa kufanyika kwa mara ya kwanza jijini London, England Jumatatu, Oktoba 26, 2026.

Orodha ya wachezaji 30 walioteuliwa kuwania tuzo ya Ballon d’Or ya mwaka 2026 Kylian MbappΓ© (Real Madrid), Lionel Messi (Inter Miami), Harry Kane (Bayern Munich), Erling Haaland (Manchester City), Lamine Yamal (Barcelona), Jude Bellingham (Real Madrid), VinΓcius Jr. (Real Madrid), Ousmane DembΓ©lΓ© (Paris Saint-Germain), Cole Palmer (Chelsea) na Raphinha (Barcelona)
Robert Lewandowski (Barcelona/ Chicago Fire FC), Bruno Fernandes (Manchester United), Declan Rice (Arsenal), Mohamed Salah (Liverpool/ Trabzonspor), Luis DΓaz (Bayern Munich), Lautaro MartΓnez (Inter Milan), FabiΓ‘n Ruiz (PSG), Florian Wirtz (Liverpool), Michael Olise (Bayern Munich), Pedri (Barcelona), Vitinha (PSG), Khvicha Kvaratskhelia (PSG), JoΓ£o Neves (PSG), Scott McTominay (Napoli), Sadio ManΓ© (Al Nassr), Serhou Guirassy (Borussia Dortmund), na Viktor GyΓΆkeres (Arsenal).
Wengine ni Virgil van Dijk (Liverpool), Pau CubarsΓ (Barcelona), Gabriel MagalhΓ£es (Arsenal), Marc Cucurella (Chelsea/ Real Madrid), Achraf Hakimi (PSG), Marquinhos (PSG), Lisandro MartΓnez (Man Utd), Nuno Mendes (PSG), William Pacho (PSG), na Denzel Dumfries (Inter Milan/ Real Madrid).
