Wafugaji katika Kata ya Janda, wilayani Buhigwe mkoani Kigoma, wametakiwa kufuga kisasa ili kupunguza changamoto za uharibifu wa mazingira unaosababishwa na shughuli za ufugaji.
Taarifa zaidi na Mwanahabari wetu Michael Mpunije

Author
Rehema William Ruhotora ni mwandishi na mtangazaji wa redio na mtayarishaji wa vipindi vya kijamii mwenye uzoefu wa miaka zaidi ya miaka Tisa (9) na mwenye shauku kubwa katika mawasiliano uandishi na ubunifu. Anajivunia Kwa kipaji chake cha kuelimisha jamii kupitia vyombo vya Habari na lengo lake ikiwa kuendelea kukua katika tasnia ya Habari na mawasiliano kwa kuleta mabadiliko chanya kwenye jamii.