Picha za matukio mbalimbali ya tamasha la kijana smart kuanzia jogging,mpira wa miguu kwa wanawake na wanaume,mchezo wa draft,volleyball na mbio za mita 100.
Tamasha hili lilifanyika tarehe 25 mwezi wa 7 mwaka 2026 katika uwanja wa posta wilayani ngara mkoani Kagera
Mtangazaji wa Redio, mwandishi wa habari, mtayarishaji wa vipindi kupitia Radio Kwizera ya Ngara, Kagera TZ.
Shauku yake ni kusimulia hadithi zenye ukweli, mguso na athari kwa jamii akijikita katika kuibua masuala muhimu kwenye jamii.
Uzoefu wake wa zaidi ya miaka mitano katika utangazaji, uandishi wa habari, utayarishaji wa vipindi pamoja na usimamizi wa mitandao ya kijamii umesaidia kufikisha ujumbe unaoelimisha, kuhamasisha na kugusa maisha ya watu moja kwa moja.