Skip to content
September 19, 2026
  • Youtube
  • Instagram
  • Facebook
  • TikTok
  • Twitter
  • SoundClauds
Radio Kwizera FM

Radio Kwizera FM

Jukwaa la matumaini

Your browser does not support live audio playback.
next try in 00:00
Primary Menu
  • HOME
  • KITAIFA
    • HABARI
    • JAMII
    • SIASA
    • BIASHARA NA UCHUMI
    • AFYA NA ELIMU
    • Magazeti
  • KIMATAIFA
    • AFRICA MASHARIKI
  • MIchezo
  • BURUDANI
  • VIDEO
    • HABARI
    • MICHEZO
    • ASUBUHI NJEMA
    • MCHAKATO
    • BURUDANI
    • MSETO LEO
    • ZOTE
  • KUHUSU SISI
    • HISTORIA
    • VIPINDI
    • TIMU YETU
    • PAKUA APP YETU
  • WASILIANA NASI
    • SERA YA FARAGHA
    • MASHARTI YA MATUMIZI
Light/Dark Button
Rais Ruto aitaka Afrika Mashariki kuondoa Vikwazo vya Ushirikiano RUTTO
  • Afrika Mashariki
  • Habari

Rais Ruto aitaka Afrika Mashariki kuondoa Vikwazo vya Ushirikiano

ZAWADI Bashemela May 5, 2026 0
Rais wa Kenya, William Ruto, ametoa wito kwa nchi za Afrika Mashariki kuondoa vikwazo vinavyokwamisha uhuru wa...
Read More Read more about Rais Ruto aitaka Afrika Mashariki kuondoa Vikwazo vya Ushirikiano
Baba Jela miaka 30 kwa kumbaka mtoto wake wa Kambo WhatsApp Image 2026-05-04 at 14.16.00
  • Habari
  • Jamii

Baba Jela miaka 30 kwa kumbaka mtoto wake wa Kambo

ZAWADI Bashemela May 5, 2026 0
Na William Mpanju- Biharamulo, Kagera Mahakama ya wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera imemhukumu mkazi wa kitongoji cha...
Read More Read more about Baba Jela miaka 30 kwa kumbaka mtoto wake wa Kambo
Serikali Kagera yawataka wananchi kuhamia matumizi ya Nishati safi ya Kupikia WhatsApp Image 2026-05-04 at 15.51.58
  • Habari
  • Mazingira

Serikali Kagera yawataka wananchi kuhamia matumizi ya Nishati safi ya Kupikia

ZAWADI Bashemela May 5, 2026 0
โ€ŽNa Enock Yoronimo- Bukoba, Kagera Serikali kupitia wakala wa Nishati vijijini REA imesema ili kufanikisha utekelezaji wa...
Read More Read more about Serikali Kagera yawataka wananchi kuhamia matumizi ya Nishati safi ya Kupikia
Kibondo yang’arisha mji kwa taa za barabarani WhatsApp Image 2026-05-01 at 22.19.50
  • Biashara na Uchumi
  • Habari

Kibondo yang’arisha mji kwa taa za barabarani

Marco BP May 2, 2026 0
Na Samwel Masunzu- Kibondo, KIGOMA Halmashauri ya wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma kupitia wakala wa barabara za...
Read More Read more about Kibondo yang’arisha mji kwa taa za barabarani
DC Bukoba ahimiza Vituo vya Afya kuboresha huduma za lishe WhatsApp Image 2026-05-02 at 07.02.23
  • Afya
  • Habari

DC Bukoba ahimiza Vituo vya Afya kuboresha huduma za lishe

Marco BP May 2, 2026 0
Na Enock- Yoronimo- Bukoba, KAGERA Mkuu wa wilaya ya Bukoba mkoani Kagera, Erasto Sima amesema upo umuhimu...
Read More Read more about DC Bukoba ahimiza Vituo vya Afya kuboresha huduma za lishe
Polisi na Jamii washirikiana kupinga ukatili kupitia michezo WhatsApp Image 2026-05-02 at 12.04.23
  • Habari
  • Usalama

Polisi na Jamii washirikiana kupinga ukatili kupitia michezo

Marco BP May 2, 2026 0
Na Samwel Masunzu- Kibondo, KIGOMA Watumishi wa Umma kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi na jamii katika...
Read More Read more about Polisi na Jamii washirikiana kupinga ukatili kupitia michezo
Serikali yafunga rasmi kambi ya Wakimbizi ya Nduta WhatsApp Image 2026-05-01 at 16.52.43
  • Burundi
  • Habari

Serikali yafunga rasmi kambi ya Wakimbizi ya Nduta

Marco BP May 1, 2026 0
โ€ŽNa Michael Mpunije- Kibondo, Kigoma Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya ndani ya Nchi imefunga...
Read More Read more about Serikali yafunga rasmi kambi ya Wakimbizi ya Nduta
Uwekezaji sekta binafsi Geita wafungua fursa za ajira WhatsApp Image 2026-04-30 at 15.53.14
  • Biashara na Uchumi
  • Habari

Uwekezaji sekta binafsi Geita wafungua fursa za ajira

Marco BP April 30, 2026 0
Na Clement Shawishi- GEITA Serikali imesema kuwa uwekezaji unaofanywa na sekta binafsi mkoani Geita umeongeza fursa za...
Read More Read more about Uwekezaji sekta binafsi Geita wafungua fursa za ajira
THE WEEK-END The_weekend_hero_card
  • Vipindi

THE WEEK-END

MUKULU SJ April 30, 2026 0
The Week-End The Week-End ni kipindi cha Ijumaa usiku kinachoandaa hadhira kuingia wikendi kwa mchanganyiko wa mawaidha,...
Read More Read more about THE WEEK-END
RK SALAAMS CLUB RK-Salaam-club-poster-card
  • Vipindi

RK SALAAMS CLUB

MUKULU SJ April 30, 2026 0
RK Salaams Club RK Salaams Club ni kipindi kinachowakutanisha wanachama wa klabu za wasikilizaji wa Radio Kwizera...
Read More Read more about RK SALAAMS CLUB

Posts pagination

Previous 1 … 10 11 12 13 14 15 16 … 42 Next

Kuhusu Sisi

Radio Kwizera

Radio Kwizera ilianzishwa mnamo mwaka 1995 na shirika la huduma kwa wakimbizi la Kijesuiti (Jesuit Refugee Service - JRS) ili kutoa huduma za kijamii, elimu, na habari kwa wakimbizi kutoka Rwanda na Burundi waliokuwa wanaishi katika kambi za wakimbizi mkoani Kagera na Kigoma, Tanzania. Kwa sasa, Radio Kwizera imekua na kupanua huduma zake hadi kufikia mamilioni ya watu katika mikoa ya Kagera, Kigoma, Geita, Mwanza, Shinyanga, Tabora, Singida, na hata maeneo ya nchi jirani za Rwanda, Burundi, na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).

Connect with Us

  • Youtube
  • Instagram
  • Facebook
  • TikTok
  • Twitter
  • SoundClauds

MATANGAZO

safi
Wadau wataka nishati safi iwafikie wananchi Vijijini
kitima-pic
TEC: Waliokosea Kabla na Baada ya Uchaguzi Waombe Radhi ili tusonge mbele
DSC_2003
Picha za matukio ya kijana smart
Kwizera Logo
Listen toย Radio Kwizera FM
RK ADs
Wateja wanakusubiri

ULIZOKOSA

WAZIMA
  • Elimu
  • Habari

Elimu ya watu wazima kuwa chachu ya maendeleo Kagera

Rehema Ruhotora September 17, 2026 0
WhatsApp Image 2026-09-16 at 4.13.33 PM
  • Elimu
  • Habari

Mwamko duni wa vijana watajwa kukwamisha mfumo wa elimu ya watu wazima Kagera

Rehema Ruhotora September 17, 2026 0
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ CAF President Dr Patrice Motsepeโ€™s visit to Tanzania-๐ŸŸ๏ธ Inspection โœ… ๐ŸŽ™๏ธ Press conference
  • MIchezo

MOTSEPE:HAKUNA MPANGO WA KUITOA AFCON AFRIKA MASHARIKI

ABUBAKAR West September 17, 2026 0
Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Ali Abdugulam Hussein ametembelea mazoezi y
  • MIchezo

ZANZIBAR KUTUMIA AFCON 2027 KUOMBA UANACHAMA

ABUBAKAR West September 17, 2026 0
  • Youtube
  • Instagram
  • Facebook
  • TikTok
  • Twitter
  • SoundClauds
Copyright ยฉ Radio Kwizera | Backend: Mukulu SJ | MoreNews by AF themes.